Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Na Imani mko poa kuna rafiki yangu hapa katumia Antibiotic inaitwa Cefadroxil anasema kamaliza Dose mchana je inakaa kwenye mwili masaa mangapi ili aendee kunywa Pombe. [emoji120]
2 Reactions
13 Replies
939 Views
Habar wakuu naomba kuuliza hivi left ventricular hypertrophy inatibikaje
0 Reactions
3 Replies
262 Views
Dawa ya kusafisha tumbo na tumbo kujaa gesi
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu zangu Habari za asubuhi, natumai mu wazima wa afya njema, mulio wagonjwa MUNGU akawape wepesi kwa kuwaponya. Moja kwa Moja niende kwenye maada, nina mtoto wangu wa miezi 8 amekuwa na tatizo...
0 Reactions
8 Replies
904 Views
Na omba msaada kwa wale wanaojua dawa au aina ya tatizo au sababu ya tatizo linalomkabili mama angu Mama angu ana umri wa miaka 47, ana tatizo la kuumwa upande mmoja wa mwili kutoka kwenye paja...
1 Reactions
17 Replies
18K Views
mgumu. Kiukweli nahi, so p msaada... Natanguliza shukrani.!!
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Wadau ninahitaji kufahamu kama ugonjwa huu unapona, nina ndugu yangu anasumbuliwa sana.
1 Reactions
35 Replies
1K Views
Naomba kujua matumizi ya hizi dawa
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wapendwa mwenye kujua dawa za gesi na acid anisaidie za hospitali naona sipati nafuu msaada tafadhali nabeua sana
0 Reactions
2 Replies
410 Views
WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA[emoji116][emoji116] 1. Shinikizo la damu 2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari 3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol PUNGUZA 1. Chumvi 2. Sukari 3. wanga 4. Maziwa...
24 Reactions
47 Replies
3K Views
World Patient Safety Day calls for global solidarity and concerted action by all countries and international partners to improve patient safety. The Day brings together patients, families...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Wasalam wadau. Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wana jf, Naomba msaada wenu mdogo wangu anasumbuliwa ovarian cyst, Sasa mwezi wa saba alipimwa utrasound ukawa na cm 3.5 hakupewa dawa yoyoye, walisema utaisha wenyewe. Sasa juzi maumivu...
2 Reactions
8 Replies
914 Views
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa. Nikitembea ni kama mtu ananichana chana kwenye korodani...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
Habari za leo wanajamvi, tunamshukuru Mungu kwa yote anayotutendea. Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products nimefuatwa na ndugu yangu mmoja...
1 Reactions
1 Replies
367 Views
Kama nilivyoeleza hapo juu, mtoto wangu wa kike umri ni mwaka mmoja na miezi 4 amekuwa akigoma kula na kama akila basi ni kidogo sana napo hadi umlazimishe. Tatizo linaweza kuwa nini? Na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapo vipi, Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi. Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana. Ila masaa mengine...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, Napatwa na changamoto ya malalamiko kila ninapokutana na mwanamke kimwili analalamika tumbo linamuuma chini ya kitofu. Na afadhali hata angelikuwa mmoja lakini kila...
1 Reactions
0 Replies
701 Views
Habarini Wana jukwaa. Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.
1 Reactions
7 Replies
834 Views
Back
Top Bottom