Habari ndugu zangu!!
Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem ya haja kubwa. Nimejaribu kutumia sabun tofaut lakn wapi, nmetumia dawa za minyoo nazo...
Habari Wana Jf natumai wote ni wazima wa afya.
Wakuu siku ya jumatatu nilikwenda moja ya hospital apa mkoani ni ya binafsi (watu wengi wanaisifu), nilikuwa namumivu chini ya mbavu, baada ya...
Wakuu,
With due respect ta all of you.
Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns that always crack my mind, and I really get puzzled! Ni kuhusu hizi...
Wakuu msinichoke, naamin JF ni chombo chenye watu wenye experience mbalimbali.
Naomba kuuliza hivi kuna uwezekano wa kufanya kipimo cha urinalysis na majibu yakawa clear kabisa yaani mkojo hauna...
Habari wana Jf doctor?
Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda wa kama wiki sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem za siri (njia ya haja kubwa), nimejaribu ku2mia sabun tofaut lakn wapi...
EID MUBARAQ
Ndugu zangu ninaumwa na hospital nishaenda mara mbili na dawa natumia ila nafuu hakuna.So nimeona nije na kwenu labda kuna mtaalam huku akanipa neno/ushauri wakuniponya
Nilifanya...
"Mwanamke awapo Hedhini anatakiwa Kuvaa Pedi ( Sodo ) kwa Saa 3 au 4 tu, ila Wanawake Wengi wanazivaa kati ya Saa 8 hadi Saa 12 kitu ambacho ni Hatari mno kwa Afya zao"
"Wanawake wengine ili...
Rafiki yangu ana umri 35 ana tatizo la kutokwa na damu puani zaidi ya miaka 10,tatizo lilianza kipindi ameanza kazi ya fundi wa ujenzi!
Tatizo lake ni kwamba Kila aamkapo asubuhi wakati ana anawa...
Habari wana jf, nasumbuliwa na madonda ya tumbo kwa muda mrefu
Nahitaji kujua anayejua herbal clinic ya uhakika (mana wengi dawa sio wa aminifu)
Naomba kuelekezwa herbal clinic inayotoa dawa za...
HIZI NDIZO NJIA SALAMA ZA KUILINDA AFYA YAKO
Mazozi ni jambo muhimu sana ili kuulinda mwili kutokana na magonjwa. Mtu mwenye kuthamini mwili afya yake hawezi kupuuza kufanya mazoezi kwa sababu...
Samahani naomba kauliza je kama mwanaume amewahi kuumwa warts kwa miezi Sita iliyopita na ameshatibu tatizo kwasasa.
Je, endapo nilikutana naye kimwili naweza kupata mambukizi?
Wakuu habarini I hope wote ni wazima wa afya.
Wakuu naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu kuishi kwa kula matunda na mbogamboga as normal diet?
Nauliza hivi kwa sababu I have diagnosed kuwa damu...
Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana...
Msaada Madaktari , nimeona kadi imeandikwa hivi Aina ya Kifua Kikuu
AFB + , AFB - , EPTB halafu kwenye AFB - ndio pawekwa tiki hii inamaanisha hapo ndio aina ya Kifua kikuu anachoumwa.
Naomba...
Habar wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 36, ni miaka Sasa nikiandamwa na maradhi ya Thyroids, bawasili, vidonda vya tumbo, mapigo ya moyo umeme mdundo kutangulia haraka, nguvu za kiume, mishipa...
Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho.
Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.