Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salute. Niende kwenye mada naombeni msaada kama kuna madaktari humu wabobezi ni hivi nasumbuliwa na tatizo LA damu kuzidi niliambiwa hivyo baadae ya kupima niliambiwa ni 17. Ndugu inanipa shida...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamii forum imesheheni watu wengi wa caliber tofauti kuna madaktar humu Ipo hivi last salary kwa wife ilikuwa ilikuwa tar 28 mwezi wa 11 then kamaliza net pay tar 2 mwezi wa 12 , Sasa...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
KWANINI WAGONJWA WENGI WA PRESHA HUPOTEZA MAISHA GHAFLA BAFUNI BAFUNI Hapa tunaangalia yule aliyeenda kuoga. Kwanza unatakiwa ujue mtu mwenye shinikizo la damu hashauriwi kabisa kuoga maji ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau. Nasikia kuwashwa baada kukujoa mkojo ila muwasho mkali baada ya kufanya mapenzi ndani ya kwenye njia ya mkojo. Nimeenda hosptali Daktari Kanipa amoxclav. Leo siku ya tatu nakunywa...
0 Reactions
2 Replies
478 Views
Ndio uzuri wa Jamiiforums, usirl unatupa confidence ya kuweza kuomba ushauri bila aibu. Wakuu, kwa sasa umaridadi wangu kunako uwanja wa sita kwa sita kipindi cha Kwanza nacheza fresh ila...
16 Reactions
83 Replies
6K Views
Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa. msaada tafadhali. haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mko poa . Nimetumia dawa nyingi lakini kifua hakiponi. Juzi homa ilipanda lakini nimepima malaria nimeambiwa sina Mimi sio mtumiaji wa sigara au pombe kali. Chaajabu ni watu...
4 Reactions
12 Replies
899 Views
Wakuu, Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Ipo hivi wakuu, kuna ndugu yangu ana tatizo la HOMA YA INI(Hepatitis B) kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka kumi sasa ila ukimcheki yupo fresh tu. Tulienda Muhimbili akapimwa akapangiwa clinic kwa...
3 Reactions
105 Replies
11K Views
Natumai nyote mu wazima wa afya naombeni ushauri "Mdomoni kumebadilika rangi na kupata utando mweupe ndani ya mdomo na ulimi wote, tumbo kuunguruma na maumivu mara mojamoja kooni na maumivu ya...
0 Reactions
7 Replies
777 Views
Salamu zenu, na umri wangu huu wa miaka zaidi ya 27 nasumbuliwa na tatizo la kujichua mno. Nataka kuacha, naombeni ushauri ili yasije kunikuta madhara makubwa ikiwemo kushindwa kupata watoto, na...
11 Reactions
199 Replies
13K Views
Salama wakuu Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked. Sasa baada ya...
29 Reactions
284 Replies
26K Views
Heading ipo wazi, naomben ushauri, uwezo wangu wa kufikiri kila kukicha naona naporomoka, naombeni ushauri.
2 Reactions
7 Replies
468 Views
Mimi naamini zipo dawa za kienyeji nzuri za miwasho na burning za korodani anayefahamu anisaidie wapendwa. Karibuni
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka...
1 Reactions
115 Replies
4K Views
Hospitali gani nzuri kwa mama mjamzito kujifungulia kwa mkoa wa Arusha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo na kila nikipima naambiwa nina amoeba na madawa nimetumia aina zote lakini sijapata naafuu yoyote,msaada kwa anayejua tiba kamili...
0 Reactions
9 Replies
68K Views
Ndgu zangu naomba msaada sehemu gan nitapata Vitamin D3 yenye K2 Kwa Mwanza au Dar
0 Reactions
2 Replies
325 Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Back
Top Bottom