Habari,
Hali ya fungus za sehemu za siri imenitesa kwa mda mrefuuu sana.
Nimeenda hospital zaidi ya 4 unapewa tu dawa ukatumie pasipo vipimo!
Ukishatumia unakaa kama mwezi wanapotea alafu...
Nawasalimu kwa upendo wa dhati.
Nimekuwa nikipata changamoto kwenye mwili wangu hasa KUVIMBA kwa mwili NGOZI kuwashwa kupata viupele na kuacha alama pale ninapojikuna.
Tatizo hili lilianza...
Habari za wakati huu wanajukwaa. Nimepatwa na tatizo la kupata maumivu kwenye joints za mikono ( zilizokaribu na viganja vya mkono).Tatizo lilianza mwanzoni mwa mwaka huu ila maumivu nilikuwa...
Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika.
Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula...
Habari wakuu,
Je, kwa mgonjwa wa presha/ kisukari ambaye ana jaribu kuondokana na vyakula vyenye mafuta, ni sahihi kula vyakula vilivyo ungwa kwa Tui la nazi ama karanga?
Natanguliza shukrani
Wakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.
Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga...
Habari wandugu ninatatizo la baridi yabisi ni nini dawa yake maana wamenambia hospitali hamnaga dawa zaidi ya antpain. Najisikia mwili unaungua moto hasa sehemu za baridi, kwenye joint hasa magoti...
Wakuu Salaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina binti yangu wa miaka minne. Hivi majuzi amebainika kuwa na sickle cell kusema kweli nimechanganyikiwa sababu nasikia ni ugonjwa usio na tiba...
Habar wakuu
Mnamo mwezi wakwanza mwaka huu nilipima cholesterol total na blood urea zilikua ziko juu zaid ya inavotakiwa...
Mpaka kufikia Sasa nikuanzia siku Tano nyuma nimeanza kusikia maumivu...
Habari zenu wakuu Mimi nimesumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda wa miezi miwili na dalili nazo pata tumbo kuunguruma,tumbo nikiligusa linakuwa na joto la kuzidi hata nisipo ligusa joto nahisi...
Sio kila magonjwa katika miili yetu ,huwa hanataka tiba. Miili yetu inazo njia mbalimbali za kupambana na maradhi ,na njia hizo ni Bora zaidi kuliko kutumia dawa.
MAGONJWA MENGI KAMA VILE MAFUA...
Magonjwa mengi kama vile mafua na flu, hupona bila dawa.
Njia zenye kusaidia mwili kujikinga na maradhi kwa kutumia kinga yake yenyewe ni zipi?
1. Kujiweka katika hali ya usafi.
2. Kula chakula...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO LA SIKIO
Mwanangu ana umri wa miaka 2 na nusu.
Ameanza kuugua ugonjwa wa sikio kuuma na ku_discharge mara kwa mara na doctors wamekuwa wakimpa...
Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo...
Kama mwezi umepita nilipo pata lile tukio la dharura ikanibidi haraka niwahi kuomba PEP, nikapatiwa ikabidi ni kae zaidi ya mwezi mmoja ili nipime kama hali koje
Jana nikajitoa mhanga nikajipima...
Wapendwa nakuja kwenu mnisaidie dawa ya degedege Kwa mwanangu anateseka jamani kila akipata homa hiyo hali inamkuta.
Nisaidieni nimehangaika mie jamani, ana miaka mitatu tu.
Ugonjwa wa Wasiwasi (Anxiety disorder) unaweza kutokea ghafla, kama hofu, au hatua kwa hatua kwa dakika nyingi, saa, au hata siku.
Wasiwasi unaweza kudumu kutoka sekunde chache hadi miaka na...
Saluti wakuu, najua katika wengi hapaharibiki neno. Nawasilisha kwenu matatizo ya mpenzi wangu ana alama katika ngozi ambazo kama vile mtu alikuwa mnene na sasa amepungua na ngozi inabaki na...
Habarini Wadau,
Kwa Miaka ya hivi karibuni kuna magonjwa ambayo yamekithiri sana miongoni mwa Watanzania na watu wengine Duniani, kama Kisukari, S.T.I's za aina zote, Cancer n.k
Nitazungumzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.