Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Maumivu ya sikio, kupoteza kusikia, uchafu wa sikio (otorrhea), mngurumo na kuvuma kwa sikio (tinnitus), na kizunguzungu (vertigo) ni dalili kuu za matatizo ya sikio. Mbali na masikio, pua, koo...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Naomba kwa aliye na sample ya fomu ya kupimia afya watumishi wa mahotelini na kwenye migahawa aniwekee hapa. Ukiniwekea pdf yake nitashukuru sana. Ninafungua mgahawa, sasa kupata hizo fomu...
0 Reactions
3 Replies
306 Views
Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo. Tulimpa Panadol kushusha homa na...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie...
12 Reactions
245 Replies
13K Views
Hali hii nimeishuhudia kutoka kwa mtoto wa jirani yangu. Alizaliwa akiwa wa kawaida tu, lakini baada ya mwaka ngozi yake ilibadilika taratibu na kuwa ya albino totally ikifuatiwa na mabadiliko...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kupoteza maono ya macho (Acute Vision Loss) kwa kawaida hutokea ndani ya dakika chache hadi siku kadhaa. Inaweza kuathiri jicho moja au yote mawili au sehemu ya uga wa kuona. Sababu kubwa za...
1 Reactions
4 Replies
884 Views
Ni nadra sana mwanamume kushindwa kusimamisha uume, tatizo kubwa ni muda wa muendelezo wa kusimamisha uume. Hali hii huweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia (kujihisi mwenye hatia, hofu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tatizo hili limemtokea ana wiki ya pili sasa, nilimpeleka hospitali akapata matibabu jumamosi kwa Dkt. bingwa wa watoto lakini naona bado hakuna nafuu, Dkt. alimpa dawa za kupaka za mwezi mzima na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
naomba kuuliza wanaojua nina bima ya afya nimekata march 2023 sh 980000/ sijaitumia mpaka hivi leo mwezi huu wa 9 unaingia. Nimeenda hospital ya CCBRT kumuona daktari wa mifupa na bima yangu...
1 Reactions
7 Replies
995 Views
Habari ya muda huu. Mwanangu wa miezi 12 hajanza kutambaa, naombeni ushauri wenu ila alichelewa kulia wakati wakuzaliwa lakini pia degedege huwa inamsumbua. Naombeni ushauri wenu namna ya...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada. Nawasilisha. Wako Mtiifu, Gwego.
0 Reactions
2 Replies
621 Views
UKOJOZI KITANDANI (Bed-Wetting) –Enuresis Ukojozi kitandani unaweza kusababisha matatizo ya kitabia kwa sababu mtoto anaweza kuhisi ana makosa na kujisikia aibu. Ni kweli kwamba mwanao...
1 Reactions
819 Replies
212K Views
Mimi sio muumini wa punyeto ila toka nimemtimua shemeji yenu wikiendi iliyopita kwasababu kadha wa kadha. Leo jumatatu saa tatu za usiku huu baada ya kurudi job nikavutwa na hisia kali za...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Jamani waganga na waganguzi nisaidieni huo hapo ugonjwa nimeambiwa umekuwa immune kwa antibiotics kama amoxcline,ethromicyne,cipro,chrolophenicol na nitrotarantoin na mwili sasa una rashes nitumie...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wandugu habari! Mzee wangu ameanza tatizo la kuvimba usoni kila asubuhi kwa wiki tatu sasa na baada ya muda mfano saa nne asubh kuendelea anakuwa powa! Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna mtu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari ya majukumu wana JF. Mimi ni mwanaume Aged 23 ni mtanashati (handsome kiasi ) lakini Nina tatizo la kuwa na makalio makubwa sana jambo ambalo limekua likiniondolea ujasiri (confidence)...
12 Reactions
109 Replies
33K Views
Habari za muda huu wanajamvi Nina mida wiki Sasa vipele Sehemu za Siri vinawasha na kwenye Mikono ila sana Sanaa Sehemu za Siri mapajani Kuna vipere vimekuwa vikubwa kiasi na vinawasha kama vijibu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Nilipata maambukizi ya GENITAL WARTS baada ya kwenda hospitalin nikapewa dawa aina ya podowarts 10ml, baada ya kutumia...
1 Reactions
3 Replies
957 Views
Back
Top Bottom