Ukimnyonya busu mwanamke akiwa amepaka Lipstick jiandae kuwa na tatizo la figo (disorder),
uvimbe kwenye mapafu na tumbo maana kwenye Lipstick kuna vyuma vya cadmium, aluminum, chromium n.k...
Habari ndugu zangu,
Nina umri 23, nimepata tatizo la maumivu makali ya nyonga (kiuno). Nimesha fika hospitali zaidi ya mara 2 na nimetumia dawa za vidonge na kuchua, pia hua zinapunguza maumivu...
Habari wanaJF?
Mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi 6, anasumbuliwa sana na Vipere. Nishampeleka sana hospitali, lakini dawa zote anazipewa hazimsaidii, akitumia dawa Vipere vinapotea kwa...
Ninapenda kurudisha huu mjadala hapa kwa manufaa ya wengi kuliko kuongelea private ambapo wengine hawapati uelewa halisi.
PEP tunajua ni dawa ya kutumia pale unapo hisi umaweza kuwa umakutana...
Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau kuhusu ugonjwa huu
Wataalamu poleni na majukumu ya kuhudumia afya zetu,
Mimi nina tatizo la ugonjwa wa Vitiligo, lips ya chini imebadilika colour na...
Lengo kuu la kuongezewa njia wakati wa kujifungua (Episiotomy), ni kuzuwia kuchanika kwa msamba (perineal tear) au kukaza kwa misuli kupita kiasi ambapo huweza kupelekea sehemu ya haja kubwa...
habari wana JF,
Kwa wanaotoka mikoa arusha, kilimanjaro au manyara si neno geni sana kwao
mikongoraa ni aina fulani ya mizizi ambayo husambazwa mtaani na kutafunwa sana na wenyeji wa mikoa hiyo...
Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho...
Fupakola (Clavicle) ni mfupa unaounganisha mkono na mwili, huitwa Mfupa wa Kola (collarbone), ni mara chache sana kuvunjika kwa muundo huu wa mfupa.
Wanaume huathirika zaidi kuliko wanawake...
Habarini ndugu zangu..
Week2 zilizopita nilikuwa Shinyanga. Kule kulikuwa na baridi kali Sana. Naweza sema baridi ya kule ilinikataa kabisa. Maana kila baridi linapokuwa Kali ndio napata maumivu...
Jaman naombeni msaada kwa anae faham nina sumbulia na tatiz sehem ya korodan yani napokuw natembea panachoma mno kwa kizungu wanaita stinging au burning mpak sehem ya aja kubwa inatokea wakat wa...
Jamani kama kuna yoyote ambaye aliwahi kupata tatizo la kuwashwa na kuvimba mwili na akapona kabisa atuelekekeze wenzie kwani tumeangaika sana hospitali tukiambie tuache kula vitu mbalimbali...
Hello, mimi huwa nakaa sana vijiweni saa zangu za mapumziko baada ya kazi, na mara nyingi huwa naongea issues nyingi sana na washikaji. Na kama kuna issue ambayo nimeona imeleta ubishani sana...
Nashangaa watu wanauziwa madawa ya unga mengine hawajui yamechanganywa na nn tena kwa bei gali wakati dawa ya nguvu za kiume ipo kwenye maji yaliyotuzunguka
Sasa niwaambie uume ni kama jicho tu...
Katika maeneo ambayo tunapokezana sana vifaa vya kulia chakula ni migahawa ya kitaa na maeneo ya wauza supu. Unakuta kijiko kimoja kimepita kwenye midomo ya watu 20.
Ninachotaka kushauri hapa ni...
Habari zenu wataalamu, nimekunywa dozi ya PEP kwa siku 23 mfululizo, nilipoteza vidonge 5, jana usiku sijakunywa. Nili-google kuhusu mazingira hayo ya matumizi ya PEP, jibu nilikutana nalo n kuwa...
Kama nilio anza juhudi zangu za kupunguza uzito, huu ni mwezi wapili kwa kutumia mfumo ule ule wa kula mlo moja mboga za majani sana na kuepuka vyakula vyenye wanga sana kama chapati ugali na...
Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana...
Wakuu habari mimi naomba kufahamu hospitali ipi kwa sasa ni nzuri na ya kisasa kwa mama mjamzito kipindi cha kujifingua kati ya hizi;
Aghakhan hospital
Premiercare clinic
Sali international...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.