Habari zenu wana jf?
Ni mwezi sasa toka mama watoto wangu ajifungue lakini toka alivyojifungua alikuwa na tatizo la maziwa kuwa machache. Na tukafanya kila mbinu ili mziwa yaongezeke ikiwa ni...
Hivi wataalam wa pharmacy hamuwezi jamani kutufanyia kitu kwenye hii dawa? nakunywa tu nisife, harufu mbaya, ladha mbaya. Kila nikiwa nataka kunywa nahisi kutapika.
Hebu wataalamu njooni hapa...
kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo.
Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na...
Bakteria wanaosababisha ugonjwa wa kuwashwa kwenye uke waliozunguka seli
Tendo la ndoa kwa kutumia kinywa kunaweza kusababisha mazingira ya maambukizi ukeni, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa...
Lishe nzuri na mtindo bora wa maisha ni muhimu kwa kila binadamu. Mtindo bora wa maisha ni ule unaozingatia kanuni bora za afya. Mtindo bora wa maisha ni pamoja na kula mlo bora, mazoezi ya mwili...
1. Chokolate, hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na shinikizo la damu. Ila kula mara kwa mara itasababisha kuongezeka uzito.
2...
Madaktari na wataalamu wa afya wanashauri mama mjamzito kufanya mazoezi mepesi kwa muda wa dakika 10 mpaka 30 kila siku ili kuimarisha misuli, mzunguko wa damu, viungo vya uzazi na kupunguza...
Ni takribani wiki sasa inapita napatwa na dalili hizi
1. Muwasho sehemu za siri kwenye uume na pumbu zinapata zinapata vipele flani havijai maji ila nikivikuna vitamu sana nasikia raha sana mpaka...
Utangulizi
Ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona umevamia kila nchi duniani na kila nchi imeamua namna yake ya kupambana nao
Kwa sasa kuna namna kuu mbili zilizoko duniani ni...
Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa...
Habari wakuu, kama wiki tatu hivi niliugua tumbo la kuhara lililonisumbua kwa siku 4 hivi nilihangaika sana kutumia dawa (kuna moja ni single dozi baadaye nikatumia dose ya flagyl) mpaka kupona...
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota...
Naomba kuuliza wataalam, unapaswa upime mara ngapi kujua kama una ukimwi.
Jana nimempima mtu majibu yakaja positive ila yeye anasema kapima juzi ana negative, pia alipima last month alikua na...
Tarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...?
Je kuna hatari? Kama...
>>HABARI ZA MUDA HUU WAKUU!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na...
kwa siku hizi mbili mfululizo nimekua nikipata sana mawazo ya kujiua kila ikitokea nafasi ya kuweza kujiua nawaza kujiua
Jana nilikua nimepakia kwenye gari natokea masafa marefu na milango haikua...
Habari.
Nahitaji Volunteers 20 wenye taaluma ya Clinical medicine (8), nursing (7) na physiotherapy (5) wa hapa Dar es salaam ngazi ya diploma kusaidia shughuli ya upimaji kwa watu wenye uhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.