Afya ya akili ni hali ya ustawi ambao mtu anajua uwezo wake mwenyewe, anaweza kukabiliana na matatizo ya kawaida ya maisha, anaweza kufanya kazi kwa ufanisi na yenye matunda na anaweza kutoa...
Usiku ule ulikuwa ni wa kutisha sana. Binafsi niliwaza sana na kumwambia mke wangu, sijui kama patakucha nikiwa hai.
Basi bhana, maumivu ya kichwa yasiyo na kifani, maumivu ya misuli na mifupa...
Wakuu nawasalimu,
Kwakweli usiku umekuwa mgumu sana kwangu, jino, Wataalamu wa meno bado niliowaona bado hawana majibu zaidi ya kuling'oa,
Ina maana dactari wa meno wanasomea kung'oa tu meno na...
Habari za muda huu,
Msaada kwa anae fahamu dawa ya kutibu maumivu ya jino watu wengi wananishauri kung'oa ila mi naona sio njia nzuri...
Naomba kama kuna anae fahamu dawa za hospital au hata za...
Papai, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho muhimu vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, yakiwemo yale hatari...
Habari za wakati huu wakuu....
Nimekuwa nikipata maumivu ya mguu kwenye paja kwa muda ya miezi mi 2 sasa na tatizo hlo limekuja gafla tu, cjawah kudondoka au kupigwa na kitu.. Maumivu yanakuja...
Kumekuwa na hizi dawa za kupunguza wezekano wa kuambukizwa virusi vya HIV, ambazo ni PREP na PEP, je zinafanya kazi kwa asilimia ngapi?
Na mbona kwenye vituo vya afya wanatoa hizi PEP lakni...
Habari wakuu,
Mtoto wa kiume ana miezii miwili sasa macho yake yanatoa matongo tongo, tumeenda hospital wakatupa dawa tumemtia lakini wapii still hadi sasa hili tatzo limekua sugu.
Masada wenu...
Habari zenu wana janvi
Naomba sana sana sana uzi huu utumike kutoa USHUHUDA ni jinsi gani umetatua tatizo la kushindwa kushiriki tendo
Post zimekua nyingi na asilimia kubwa zimejaa mizaha na...
Mazoezi ya kegel yamefanywa lakini bado kitu ni kipana tu. Jogging imedunda pia.
Hivi hakunaga surgery ya kupunguza upana wa hii kitu?
N.B. Wale maisha choka mnaomiliki simu za Tecno na vigari...
Naomba kujua,
Nona ovarian cysts kwa maana nmenda hospitali nikapewa dawa lakini unaendelea kuongezeka na wasiwasi wangu ni kwamba inapelekea cancer ya kizazi au laah!
Mimi ni kijana wa miaka 23, ni muathirika na muhanga wa kuangalia video za ngono, namaanisha "XXX videos".
Natamani kuacha, kila siku nachafua mashuka baada ya kuzingalia napambana sana but...
Mjamzito ataanzishiwa uchungu (Induced labour) ikiwa kutakua na hatari iliyothibitishwa kwa mama au mtoto, au kwa wote wawili.
Baadhi ya sababu za kuanzishiwa uchungu ni pamoja na Matatizo ya...
Wakuu habari za humu!
Naomba niende kwenye mada- ni wiki ya pili sasa Toka nianze kuona dalili ambazo kiukweli zinanipa wasiwasi na leo nimeona jiingie humu jukwaani kupata ushauri wa kitalamu au...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa saba nilikutana na baba watoto tarehe...
Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.