Habar ndugu zangu,
Nimepiga punyeto kwa muda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukadhoofu sana halafu nikawa mzito kuelewa yaani nakuwa...
Naombeni msaada, kama inavyojieleza hapo juu ni miezi kadhaa hilo tatizo limekua likijirudia rudia. Napata maumivu makali sehem ya korodani ambapo inapelekea muda mwingine kukojoa damu na...
Mficha maradhi kifo humuumbua.
Naombeni mnisaidie nipone huu ugonjwa
Mimi ni bonge kiasi nina kg 96,niliambiwa niwe nakunywa maji mengi.tatizo likazidi,
Niimeambiwa nisinywe maji mengi ni mabaya...
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana.
Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri...
7 health benefits of raw organic cashews:
1. Cancer Prevention cashews can reduce your colon cancer risk. (Zinakinga Maradhi ya Saratani Haswa kwenye matumbo mapana)
2. Heart Health (Korosho...
Nilikuwa na dalili za ugonjwa wa Moyo na Ini ambapo dalili hizo zilinianza nikiwa na miaka 42 japo ninaamini haikuwa kwa kiwango kikubwa. Kadiri siku na miaka ilivyoongezeka ndivyo hali hiyo...
Naisi maumivu nikiongea kooni. Ni hospital gani mzr ya koo au ni daktari gani mzr wa koo. Ni mwaka sasa naumwa huu ugonjwa! Naitaji msaada hata mwenye anajua dawa mzr ya asili aniambie.
Mtu akiacha Kula chips lakini anakula ndizi za kukaanga...kuna mabadiliko yeyote hapo ya maana health-wise?
Kingine nimesikia maji baridi Yana madhara.....yanasababisha ugonjwa wa Moyo...hii nayo...
MAGONJWA uasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani asilimia 33 ya vifo vyote nchini huku takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa hayo yalichangia zaidi...
Ndugu zangu wana JF.
Nina tatizo kutoka vipande vyenye rangi ya cream kama makohozi yaliyoganda sana kwenye koo. Vinakuwa na ukubwa wa mahare madogo au kunde. Vinatoka kama mara moja baada ya...
Kuna wimbi kubwa la watu wakitaka show mmoja wapo hudai tukapime kwanza. Sasa hata mkipimana kipimo kikaonyesha negative, ndo kusema mko wote salama kulana kavukavu?
Vipi kama muda mfupi kabla...
Wakuuu naomba msaada nimekuwa nikipata discharge kwenye penzi nyeupe na mbaya zaidi mke wangu naye amekuwa akipata discharge nyeupe kama maziwa mgando yenye harufu.
Tulienda duka la dawa mke...
Habari zenu ma Dr. natumai mu wazima wa afya.
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada, ni kwa muda wa miaka miwili na kitu sasa nimekua nikisumbuliwa na vipele ambavyo vinatokea ukeni kila...
Habari wadau kwema, shida yangu ipo hivi, nipo Nyumbani mara nyingi na kuna shughuli huwa nafanya kama kusafisha vyombo pamoja na kufua.
Ila shida maji yakiingia kwenye vidole na uyayoni basi...
wapendwa za asubuhi,poleni na hongereni kwa majukumu ya familia zenu na ya kuijenga nchi nimekuja kwenu kuomba ushauri/msaada wa mtoto wa kiume umri miaka 2 na miezi 4 kukosa usingizi wakati wa...
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuboresha ubora wa huduma zinazotolewa katika Vituo vya kutolea huduma za afya nchini kwa kuanzisha Programu ya...
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia.
Nakirusha tu shwaaa...
Naimbeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja.
Haliumi Wala kuwasha niliamka ndio nikakuta hiyo hali
Nitumie dawa gani jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, siku nne zimepita tangu nipate jiko(mke)
Siku ya kwanza tumeshiliki bila shida yoyote, siku iliyofata uke ukabana kiasi kwamba hata vidole viwili haviwezi kupita, tukajipa moyo kesho ake...
Wengi wetu tunafahamu athari za punyeto kwenye Afya zetu ila hatujui vitu vya kuzingatia Ili kuondoa Madhara haya, kama ingekuwa ni mimi niliye pata Madhara hayo ningefanya mambo yafuatayo Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.