Habari wakuu!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, nina dada angu hapa anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa kwa ngozi alijaribu kutumia dawa aina ya Dexamethasone tabs 1X2, hydrocortisone...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna changamoto inayohitaji daktari wa ngozi, sasa nahitaji wenye uzoefu wanisaidie mawasiliano ya daktari mzoefu.
Mahali: Mwanza
Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea...
Hello,
Mtu mzima umri miaka 50+ anasumbuliwa na kutoka damu puani inatokea mara mbili hata zaidi kila wiki.
Nini kifanyike kutoweka kwa hari hii, msaada tafadhali!
Habari wanaungwana,
Mwanangu ana umri wa miaka sita sasa,lakini ameng'oa meno mawili ya mbele ya chini lakini kwa sasa ni zaidi ya miezi miwili hayajaota,tatizo ni nini au nifanye nini ili yaote...
Habari Wana JF
Binafsi Kuna changamoto ya kiafya nimeipata nashindwa kuelewa shida ni nini .Nimesafiri kutoka dar es salaam mbaka nyanda za juu kusini kwa ajili ya mishe mishe akini katika kukaa...
Uzi muhimu Sana huu. Wengi Wanachukulia poa suala hili.
1. Ukisikia imepasuka acha Mara Moja tendo, Kuwa mtulivu na Uitafuta kondomu hiyo Iliopasuka.
Mara nyengine vipande vya mpira huo wa...
Wanajamii naomba msaada wenu wife anasumbuliwa na mafua ya mara kwa mara; yakimpata anatumia dawa anapona baada ya muda mfupi (siku 7 hadi 10) yanarudia tena.
Tiba yake ni nini?
Back pain is a common problem. Back pain is one of the most common ailments in the World.
How is the back made up?
The major feature is the spine. This is a highly complex and delicate structure...
HABARINI WAKUU,
Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility).
MANII (SEMINAL FLUID) ni...
Kama nilivyosema kwenye huo uzi wangu na kupewa ushauri mbali mbali, niliufanyia kazi, siku 30 bila chakula cha wanga nashindia matunda na maji tu usiku kipande cha gimbi na mboga mboga nimeweza...
Habari zenu wana jamvi Na madokta wa Jf.
Mimi nna tatizo la kutoka utando mweupe baada tuu ya kupiga mswaki.. Na inaonekana kuzunguka kwenye lips za chini.
Kwa sasa ni miaka 6 nna hili tatizo...
Ndugu zangu siku zote hizi nilikuwa nimekariri kuwa bangi ina madhara
Sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi mzungu anavuta bangi saana lakini jamaa ni mtu poa kabisa wala hana matatizo na watu
Sasa...
HABARI WAKUU.
Wakubwa kwa Wadogo salamu kwenu
Mimi ni kijana mwenye 28 years..!
Tatzo langu ni uwembamba uliopitiliza natamani walau na mimi niwe na vinyama kidogo. Nakumbuka mwaka jana niliwahi...
Naomba wenye uelewa wa hili suala waje, ni takriban mwaka mmoja na nusu tokea hizi lengelenge zinitoke. Nikinyoa msitu vinatabia kama vinapotea ila msitu ukiongezeka vina ongezeka ukubwa.
Leo...
Nasumbuliwa na uvimbe wa nyama mdomoni kwenye mashavu kwa ndani ninapo tafuna chakula unakuta naumia sana kwani najing'ata ,naombeni msaada tafadhali kwani napata shida wakati wa kula sijui hata...
Msaada aisee,
Nahisi nina sumu nyingi mwilini. Kuna bro hapa alisema kuna dawa inaitwa SAFI. HIyo dawa Inauzwa elfu 6 had elfu 12.
Anyone who knows? Mwili unawashwa, nilimezaga SP mara 4 mfululizo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.