Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu...
Samahani wadau. Kwenye vigezo vya chuo kinachoangaliwa cutt off point ziwe 4 au principal pass mbili. Kwamba ukiwa na CEF unaenda? Au lazima uanzie DDF?
CE=4 and D+D=4.
Je mtu huyu wa CEF anaenda?
If you’re bothered by how much you sweat, you’ve likely tried many different brands of deodorant with no success.
Excessive underarm sweating can be uncomfortable, but it doesn’t have to be...
Nina tatizo sijui litakuwa tatizo gani:
Kuna kitu Chini ya kifua changu karibu titi la upande wa kushoto kinacheza cheza mara nahisi kama kinavimba nikiwa na tembea sisikii chochote nikiwa...
Spinach ni mboga yenye faida nyingi kwa afya ya binadamu. Baadhi ya virutubusho vinavyopatikana kwenye mboga hii husaidia mwili kusafirisha vizuri hewa ya Oxygen, kutoa kinga dhidi ya magonjwa...
Habari wakuu.
Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu...
Habari..
Wakuu mimi kijana wenu nahisi uchovu mkali sana na kuishiwa sana nguvu kimwili na kiakili..
Yani akili na mwili wangu vimechoka sana ndugu zangu. Nimejitahidi kunywa maji mengi si chini...
Wadau naombeni msaada mwenzenu yamenifika. Nakosa usingizi kabisa. Nikinywa pombe ndo napata usingizi. Pombe za kila siku ukweli sizitaki. Naombeni msaada maana nateseka sana
Natamani kupata mjadala wenye kuweza kuleta majibu yaliyoshiba mawazo huru yenye mitazamo tofauti, kwani siku hizi kuna wimbi kubwa la watu kugeukia dawa za kienyeji zaidi kuliko zile zinazotolewa...
Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.
Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama...
Naanza kwa Kutanguliza Shukran Kwenu Wataalam ila msio Madaktari na Madaktari Wenyewe na hata Watu Wengine wenye Uelewa na Uzoefu juu ya Matatizo haya ya Migongo ( hasa Kusagika au Pingili kuhama...
Wasalaam wana jamii forums,
Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa...
Naomba kuuliza ni kiwango gani cha madini kinachotakiwa kuwekwa kwenye maji ya kunywa?
MFANO:
Hill>>
Chloride 16
Magnesium 1.8
Nitrate 0.43
Potassium 0.1
PH 7.0
TDS 40
Uhai>>
Chloride 9.4...
Jamani habari za jioni, Mimi ninasumbuliwa na tatizo la mapigo ya moyo kwenda mbio, ambapo tatizo hili lilinianza ghafra na lipo kwa muda wa miaka miwili mpaka Sasa.
Mapigo ya moyo haya mwanzoni...
Jambo Jambo?
Kwa wanaume kama wewe ni mfuatiliaji au ulishawahi kumpeleka mke/mchumba hospital wakati ni mjamzito na anakaribia kujifungua nadhani mmekwisha kushuhudia hii,Kama hujawahi...
dizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini.
Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.