Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

KAMA ULIKUWA HUJUI: Hizi ndizo faida anazopata mwanamke pale mwanaume anapofunga goli wakati wa tendo la ndoa (Kumwaga mbegu) (1) Humtengenezea mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika...
8 Reactions
9 Replies
7K Views
Hivi karibun nimepata tatzo la moyo kuwa unapga vbaya wataalam mliopo humu naomba msaada kujua nifanyeje coz inanipa wasi wasi sana hali hii Natanguliza shukrani
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Oi wataalam wa mambo. Nimeenda famasi kununua dawa ya tonsezi cha ajabu nimepewa AZUMA - 250 Kinacho nipa hofu ni kwamba kupitia uzi wa kula kimasihala niliona hizi wadau walitumia kujitibu...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani naombeni ushauri jinsi ya kuvitibu haraka vidonda kwenye ngozi ya mapumbu. Vimetokana na wakati naoga nilijisugua kwa nguvu kwa dodoki nikachubuka sasa vina wiki 1. Natumia sabuni ya...
0 Reactions
3 Replies
498 Views
Madaktari na wataalamu wa afya naombeni msaada wenu tafadhali kabla sijatumia hizo dawa hapo nilikuwa vizuri tu nikiamka asubuhi nakuta mwamba kasimama dede. Lakini tangu nitumie hizo dawa japo...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Ni halali mjamzito kukosa huduma kisa hajaenda na mume wake? Nilitaka kuweka clip nimeshindwa. Mawazo yenu muhimu.
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Ugumba kwa wanaume ni tatizo, na huchangia asilimia 50% ya wanandoa wasio na uwezo wa kuzaa. Utoaji wa huduma za afya za kibingwa kushughulikia matatizo ya uzazi ya mwanaume bado hayatoshi...
1 Reactions
2 Replies
920 Views
Khabari zenu, Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93. Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila...
22 Reactions
205 Replies
11K Views
Naombeni msaada wa matibabu kutoka kwa madaktari waliomo humu. Tatizo langu ni kwamba kuna siku niliamka asubuhi nikashindwa kunyanyuka kitandani kwa sababu ya maumivu makali kuanzia kwenye...
1 Reactions
21 Replies
19K Views
Takwimu za watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee imeongezeka kutoka asilimia 58 ya mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 64 mwaka 2022. Pamoja na hilo takwimu za watoto wanaonyonyeshwa ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani inalenga kuangazia umuhimu wa kunyonyesha kwa afya na ustawi wa Watoto na manufaa kwa afya ya uzazi. Pia kukuza, kulinda, na kusaidia haki za Wanawake kunyonyesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za saizi wana jf? Samahani, nimefikwa na tatizo mwenzenu nahitaji msaada. Mama yangu ni mgonjwa yupo kitandani hasimami wala hatembei. Nimekuja kwenu wadau mnisaidie kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
3 Replies
546 Views
ACHA UMBEA WEWE, KAFANYE KAZI HUKO 🥴 🥴 🥴 🥴 🤮
5 Reactions
325 Replies
47K Views
HERBS FOR NATURAL FLAT TUMMY Belly fat is stubborn and clings on and around the stomach, giving an odd look to your figure. Dieting is not the only solution to losing belly fat, as this might...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau, naombeni msaada wenu na ushauri, Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara na limeanza muda mrefu kidogo huu ni mwaka wa nne unaenda tafadhali naombeni msaada wenu maana hata...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Habari zenu jamani, Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi...
2 Reactions
145 Replies
24K Views
Hili suala la kuwa umemwandaa mwanamke kwa muda fulani Kisha mkaanza game limekolea mara utelezi unaisha mnalichukuliaje? Hii ni shida mpya kwa wanawake wa sasa. Inafikia kipindi mnaboa kuweka...
6 Reactions
158 Replies
7K Views
Nasikia mwili viungo vinauma, kikohozi, kubanja na sina hamu ya kula. Nitumie dawa gani please?
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom