Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hii documentary imefanyika Katika mji wa Chiapas nchini Mexico kutokana na mji kukosa huduma nzuri za maji safi na salama Kwa kunywa wananchi wanatumia kinywaji cha soda za Coca-Cola kama mbadala...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau tupate dondoo za Afya kidogo ili kuimarisha afya zetu na kuepukana na matatizo ya kiafya. Sababu za figo kufeli ni zile zile ambazo zinaongelewa kila siku 1. Kula chumvi kupita kiasi 2...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo. Mara ya mwisho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama title inavyojieleza hapo ni kuwa nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga nae ndoa muda sio mrefu lakini nimekuja kugundua kuwa ana tatizo la uume kuwa legevu na muda mwingine anashindwa...
9 Reactions
98 Replies
26K Views
Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi. Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali. Nimeshindwa kupatiwa huduma. Inaathiri...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nini tatizo la hasa kwa wale wanahikumaliza wakati wa kufanya tendo la ndoa? Kwa wale mnaofahamu tufahamisheni ========== Baadhi ya majibu: Unajuwa kumwaga au kutokumwaga is a psychological...
5 Reactions
1K Replies
223K Views
Wakuu tafadhali naomba msaada kwa mwenye kufahamu dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga mwanangu anaumwa usiku hatulali na mchana ndio kabisa utamwonea huruma. Asanteni.
2 Reactions
32 Replies
123K Views
Baada ya Jamii forum kuripoti juu ya ubovu wa mashine hii, imetengenezwa
0 Reactions
1 Replies
761 Views
NJIA ZA ASILI ZA KUKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO: 1. Tambua Mahitaji ya Karoli(Nguvu) Kabla hujaamua jinsi ya kula, unapaswa kufahamu ni Kalori(Nguvu) kiasi gani unahitaji kwa siku. Hii inaweza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tafadhali msaada nimekuwa nikisumbuliwa na makohozi mazito katika Koo yamegandamana katka Kuta za koo. Napata shida sana naaibika mbele za watu nimazito sana. Niko Arusha test gani nifanye au...
0 Reactions
3 Replies
923 Views
Miezi miwili iliyopita nilipata choo kigumu sana kiasi kwamba maumivu niliyapata ndani ya wiki baada ya hapo kila nikipata haja lazima maumivu ingawa sio Kila mara ila mara nyingi huwa hivyo, na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu wakuu naombeni ushauri. Mwanangu ametimiza miezi minne tangua azaliwe ila kinachonishangaza tangu tumnyoe zile nywele alizozalowa nazo za uchanga hajaota nywele mpaka leo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Niende moja Kwa moja kwenye mada bila kuwachosha. Ninaitaji msaada wa dawa ya kifua kubana hasa usiku na kutoa sauti kama ya filimbi kwa umbali na nikikohoa natoa kama kama vikamba kamba. Tatizo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu. Ninapata maumivu makali sana ya kichwa upande wa kushoto (sometimes kushoto na kulia kwa pamoja) kuanzia jichoni hadi kwenye sikio. Nilipima macho nikapewa miwani lakini...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
"Ushauri wangu kwa wanawake na wanaume ni kuacha nafasi kubwa katika maeneo nyeti. Hakikisha suruali na nguo ya ndani vinapata nafasi na wala usibanwe kwa namna yeyote," Kauli ya wataalamu...
1 Reactions
117 Replies
40K Views
Habari, Naomba kujua sababu za kushauriwa(kitaalamu) kumnyonyesha mtoto hadi umri wa miaka 2. Asanteni. ===== Sababu nyingi za ushauri huu ni za kitaalamu zilizofanyiwa tafiti kwa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Eti wakuu hiki Kipimo cha HIV naweza kukipata kwenye Pharmacy shop?
1 Reactions
20 Replies
1K Views
VYAKULA VYA ASILI HATARINI KUTOWEKA Aina 26 za vyakula vya asili nchini Tanzania vipo hatarini kutoweka kutokana na watu wengi kukimbilia vya kisasa ambavyo baadhi vina athari kwa afya. Mratibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo. 1. Kwanza...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Faida za karafuu mwilini. Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa ambayo huweza kutibiwa kwa kutumia karafuu mmea huu wa karafuu. Magonjwa ya meno Kemikali ya Eugenol ambayo hupatikana kwa zaidi ya 85%...
5 Reactions
10 Replies
43K Views
Back
Top Bottom