Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja
Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia...
Mafuta ya ziada kwenye tumbo (Obesity) husababisha mshipa unaoleta damu ndani ya ini (Portal vein) kujaa mafuta ya asidi yasiyo na kazi (free fatty acids), na kuongeza mkusanyiko wa mafuta kwenye...
Habari za majukumu,
Niko hapa nikiwa na kuchanganywa na vitu vifuatazo. Ambavyo ningeomba msaada
1. Kuna tofauti gani Kati ya chanjo ya homa ya Ini na yellow fiver
2. Sina maambukizi pia...
Moja ya matatizo yanayosumbua vijana weng hasa watanzania siku hizi na kutokujiamin na ukubwa na uwezo wa maumbile yao nakufanya wahangaike na kutafuta njia za kupamban na tatizo Hilo.
Sudani ni...
Maana ananiambia Mara ya mwisho kwenda alipima presha ilikua 114/98
Leo kaenda eti ipo 93/58
Wamempa tu vidonge vya kutafuna, vipi iyo hali sio hatari kwa afya ya mama na mtoto?
Habari za mchana sana JF Samahan nilikuwa naomba kuuliza kwa mwenye ujuzi na hili anaweza kunisaidia .....
Hivi kuna hasara gan za kufanya musturbation.....
Samahani wana jamvi, naombeni ushauri mimi nikijana natarajia kuoa hivi karibuni.
Jana tulienda kupima afya ikawa vema, pili tuka cheki makundi ya damu yakawa yanalingana kuwa mimi nina O+ na...
Wasalam wakuu, nimepata changamoto kidogo kwenye hii taasisi
Mzee wangu anasumbuliwa na Cancer alifanyiwa operation wakatoa uvimbe, then tukapewa referral kwenda Ocean Road Cancer Institute...
Nina ndugu yangu huwa ana tatizo la kisukari. Amekuwa aki -icontrol vizuri tu with medication as usually is controlled by many.
Kalala vema anaona kabisa vizuri. KUAMKA NI KIPOFU.
Nini kimetokea...
Hospitali hii imekuwa ya ndugu wa madaktari, manesi na washkaji zao..
Tangu afe Magufuli huduma za hospitali Rufaa Mkoa wa Ruvuma zinatolewa kwa kujuana sana, ndugu wa watoa huduma hospitalini...
Naomba msaada uume wangu hausimami.
Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku...
Naomba kujua tatizo ni nini ngozi ya nje ya jicho inaungua na kutoka magamba yake baada ya mda kama mtu alietembelewa na narrow bee fly ila tatizo sjajua ni nini wana forum kwa anaefahamu msaada...
Habari wakuu,
Ni mwezi mmoja sasa toka nigundue kuwa na maambukizi ya bacteria wa kifua kikuu na pia ni mwezi sasa toka nianze dawa zake. Na nilivyocheki kuhusu HIV nikakutwa ni negative.
Ajabu...
Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo...
Uzi mama Uzi unajieleza
Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto
Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje?
Kama ni maombi alishaenda kama mafuta...
Baada ya kufanya masturbation kwa miaka zaidi ya sita mfulilizo, ikanifanya nipoteze uwezo wangu wa kiume.
Mwaka juzi ni kafunga ndoa, lakini bahati mbaya Kila napo shiriki tendo dakika mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.