Amani iwe nanyi,
Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana
Doctors naombeni...
Wakuu habarini,ningependa kupata ufafanuzi,mara ya mwisho mke wangu alipata hedhi 20/4/2023.Ilitakiwa apate hedhi tena 17/5/2023 hakupata .22/5/2023 tukapima kupitia UPT ikaonesha ujauzito...
Habari wana bodi natumia wote ni wazima wa afya.
Wakuu Ilikuwa kama mwezi mmoja nyuma nilianza kupata maumivu chini ya mbavu upande wa kulia, hali hiyo ili endelea ndani ya wiki mbili, baada ya...
Habari Wana bodi natumia wote ni wazima wa afya.
Wakuu Ilikuwa kama mwezi mmoja nyuma nilianza kupata maumivu chini ya mbavu upande wa kulia, hali hiyo ili endelea ndani ya wiki mbili, baada ya...
juzi usiku nilikunywa bia moja kwa mara ya kwanza
mimi uwa sinywi bia.
nikaamka kichwa kinauma na kizito nikaambiwa ninywe supu ikawa angalau kidogo. kichwa kilivyozidi nikanywa dawa ya maumivu...
Life is full of experiences. Every set of age group you encounter something that makes you sit around and wonder how you are going to deal with it. Women transition from childhood through...
Wakuu, wakubwa kwa wadogo naomba kujua madhara nitakayopata kwa unywaji wa soda, nimekua kama teja, kuna wakati nanunua majiyakuywa na soda pembeni yan kwanza nakuywa soda nikiridhika ndo nakuywa...
Habar zenu
Nina miaka 25 Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili la magoti zaid ya miez sita sasa nimetumia dawa mbali mbali za maabara sijapata nafuu nimepanda jukwaani naombeni ushauri kwa...
Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa kuridhisha wakati wa kujamiiana.
Mara nyingi nguvu za kiume zinahusiana na...
Ni kweli kukaandani kunafaida nyingi sana ikiwemo kuepusha migogoro isiyo ya lazima, kujipa muda wa kufikilia mambo yako muhimu na kujipatia majibu yenye utulivu na faida kadha wa kadha kinyume na...
Habari zenu na pia heri ya Christmas, jaman ndugu yenu nafunga mwaka vibaya; naumwa vitu vinatembea mwilini na mwili unatikisika. Nitumie tiba gani nimehangaika hospital zote sioni tatizo...
Habari [emoji2772] zenu wana JF
Nimekuja hapa shida yangu kama inavojieleza hapo juu[emoji115]
Mke wangu kila tukifinya sex papuchi (uke) wake unavimba hasa mashavu yapapuchi
Shida nini na...
Habari ndugu
Nasumbuliwa na muwasho mikononi, tumboni,mapajani,nyuma ya goti, sehemu za siri,makwapani na sehemu za viungio nilikuwa na mba nimetumia dawa ya mba mba umeisha ila bado muwasho upo...
Kama una miaka 30+ uko katika hatari ya kupata kisukari. 𝗝𝗲, 𝗸𝗶𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶 𝗸𝗶𝗻𝗮𝘁𝗶𝗯𝗶𝗸𝗮? 𝗠𝗽𝗮𝗸𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗵𝗮𝗶𝗷𝗮𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝗶𝗸𝗮 𝗱𝗮𝘄𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼 𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗸𝗶𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶
Wengine wakiwa na imani kwamba kila ugonjwa una tiba yake...
Septemba kila mwaka ni Mwezi wa Uelewa wa Saratani ya Utotoni Duniani. Mwezi huu hutumika kutambua Watoto na Vijana walioathiriwa na aina mbalimbali za Saratani
Pia kuheshimu Vijana wanaougua...
Habari wanajukwaa,
Tafadhali anayejua dawa nzr ya kutokomeza kabisa minyoo tegu anisaide,inamsumbua sana binti yangu, nimeenda hospital mwanangu anapewa dawa na baada ya muda anawaona kwenye...
Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya siifahamu maana...
MWANAMKE,
Hizi Hapa Tabia 4 Za Asubuhi Zinazosababisha Kuongezeka Uzito.
1. Kulala sana asubuhi
2. Kuruka breakfast (huoati mlo wa asubuhi kwa wakati sahihi)
3. Haupimi Uzito Marakwamara
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.