Habari wapendwa?
Nakuja kwenu kuomba anaefahamu dawa ya maumivu ya kichwa kwani yamekuwa yananisumbua kila siku najikuta natumia painkiller kila aina lakini zinagonga mwamba huu mwaka was saba...
Habari za Usubuhi!
Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda...
Wakuu naombeni ufafanuzi juu ya faida na hasara za matumizi ya mchanganyiko wa ASALI NA PUNJE KADHAA ZA KITUNGUU SWAUMU mara kwa mara!
Nn kaz yake mwilini na je kuna madhara yoyote juu ya...
Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar.
Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa...
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki...
Sababu zinazopelekea mwanaume kutoa mbegu ambazo zimechanganyika na damu (hematospermia). Sababu inayojulikana zaidi ni kutokana na uchunguzi wa tezi dume (Prostate biopsy) ambapo inahusisha...
Habari za sahizi. Naomba ufafanuzi wa kina!!
Hivi Ni wakati gani sahii/mzuri wa KUNYWA MAJI?
KUNYWA mdji KABLA ya Kula? Au KUNYWA MAJI BAADA ya Kula?
Elezea na sababu za kisayansi kabisa
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
JF Doctor na wapendwa wengine,
Hivi ninapoandika niko katika nchi yenye baridi kali sana inayoambatana na barafu. juzi usiku nikiwa...
Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi...
Kwema ndugu zangu!!
Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6...
Nasumbuliwa na miguu kuuma hasa wa kushoto, hivi karibuni nikasogea kwenye zahanati wakaniambia kwamba huo mguu hauumi isipokuwa una ganzi.
Basi wakanifungashia dawa fulani hivi za NATB, ila mguu...
Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi...
Habari za wakati huu wapendwa.
Asee hakuna jambo zuri kama kumshawishi mwanamke akubaliane na kile unachohtaji kwake(penzi),inaleta raha zaidi pale mwanamke aonyeshe kukukazia ila ukzdisha sera...
Ugonjwa wa mtu mzima kujikojolea kitandani unajulikana kama "Enuresis" au "kukojoa kitandani." Hii ni hali inayomtokea mtu mzima ambaye tayari amepitia hatua ya kujifunza kudhibiti kibofu chake...
bona.co.za
When it comes to alcohol, not everyone has positive reviews of the drink. Heavy drinking of alcohol may not be the best idea for your physical health, but when consumed in moderation...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema “Msimamo wangu tubadilishe Sheria ili Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) ndio isimamie maduka ya Dawa kisha Baraza la Famasi libaki kusimamia...
Miundombinu duni ya utoaji wa huduma za afya inaweza kuchangia kuongezeka kwa vitendo vya rushwa kwa sababu ya changamoto zinazowakabili wagonjwa wanapohitaji huduma.
Kwa mfano, uhaba wa vifaa...