Ukiwa kwenye mechi (kula mahaba), halafu wakati wazungu(sperm) wanakuja ukatolea nje kwa lengo la kuzia mimba. Je kufanya hivyo kuna madhara gani kiafya na kimahaba? Mwenye kujua anijuze.
Ni kwamba uvutaji sigara ni hatari kwa afya ya mvutaji na watu walio karibu na mvutaji pindi anapovuta sigara.Na najua ni kosa mtu kuvuta sigara katika mkusanyiko wa watu wasiovuta na...
Please doctors nahitaji msaada,nina tatizo la gesi kujaa tumboni kupita kiasi as a result tumbo linatoa muungurumo. Hospitals nikienda napewa dawa za minyoo they never help and even if they did ni...
Nimeisikia hii aina mpya ya matibabu, nasikia kwamba wanatibu kwa kugusa baadhi tu ya sehemu za mwili.
Naomba anayefahamu sehemu yoyote Dar ninayoweza kupata tiba hii anisaidie
Heart Attacks And Drinking Warm Water
This is a very good article. Not only about the warm water after your meal, but about
Heart Attacks. The Chinese and Japanese drink hot tea with their...
I have got this feeling.
Whe i see a pregnant woman i feel soo incredible.
Nadhani wanapokuwa wajawazito kuna hornnes fulani ambazo huwabadili mpaka sura, basi hii inanifanya niwaone so noble...
I got a call from a friend of mine and she says her period is two weeks late. Sasa-anaomba dawa yoyote itakayo mletea period!!
when she called me alikuwa anacheka cheka kama vile what she is...
PLEASE IF YOU DECIDE TO DIE, DIE OF ANYTHING BUT IGNORANCE.
STOP CHEWING CHICKEN BONES BECAUSE APPARENTLY
THE POISON LIES IN THE BONE MARROW.
I THINK I HAVE DONE MY DUTY BY SPREADING THE...
Wana jamii wenzangu habari za usiku? Mm nilikuwa naomba mnielekeze sehemu ambapo naweza kununua jino la bandia maana sijui huwa wanauza wapi. Asanteni sn.
AFYA YAWABABA!
Wanaume tujue Prostate yetu.
Kwa nini tujue?
l Kufahamu Ugonjwa kutasaidia kujizuia
l Kujua ugonjwa ni NUSU ya Tiba
Tezi la Prostate: Ni tezi la mfumo wa uzazi wa mwanaume...
Aslam aleykum ma dokta wote wa humu ndani!
naomben ushauri wenu mke wangu amepata tatizo mwili hauna nguvu na anakuwa mchovu sana kapimwa na imeonekana damu imepungua ipo ml 8. Nn kinasababisha...
Mara nyingi nimewasikia watu wakisema fulani amechelewa kupata matibabu, kama angewahi angepona
kutibiwa cancer yake......
Nauliza utajuaje kama una cancer?
Checking yake inafanyikaje na ni...
wandugu.
nina mdogo wa rafiki yangu, anasema ngozi yake (esp. ya usoni) ina mafuta sana. atembeapo juani yani kama kitumbua jinc ngozi inavotoj mafuta. vp atumie lotion au mafuta ya aina gani?
Wakati wa ku-do sex, jaman mwenzenu huwa natokwa na jasho jingi kupitilza mwil mzima hadi shuka huwa znakuwa ka zmemwagiwa maji, ivi leo nina bed match, nimetoka bafuni baada ya 3rd scoring...
Huyu mtu nimemwona akiongea kwenye TBC jumatatu,naomba kujua huyu ni doctor wa nini??kama ni wa binadam sitapendelea anitibu kutokana na jinsi anavyojieleza nimegundua hana self confidence na...