Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna message nimetumiwa muda si mrefu,nimeona nilete hapa JF Doctor angalau mwenye kujua zaidi atupatie somo!! SMS Kuna ugonjwa wa tumbo umeingia kwa watoto age between 1 to 5yrs and even to...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kunamtaalamu ugonjwa huu naomba msaada inapofika majira ya alfajiri saa 10-12 nasikia maumivu makali kwenye magoti kama mtu anakoka moto nejaribu kupima vipimo km s.uric acid----280...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Nina tatizo la kukosa haja kubwa,tatizo lililodumu kwa muda mrefu sasa.huwa nakosa hata zaidi ya wiki moja bila maumiv yeyote ya tumbo.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Huwa nakuwa mchangamfu na nguvu ikiwa tu kama NILICHELEWA KULALA. Nikilala saa 23:30 au 23:45... usiku na kuamka saa 05:20 huwa najisikia vizuri sana siku inayofuata. Je kwa nini? Na je kuna madhara?
0 Reactions
0 Replies
961 Views
habari zenu wanajf! nlipata ujauzito lkn ukaharibika miez mitatu iliyopita..(ilitoka kwasababu nlitumia dawa za malaria ikiwa nna mimba ila nlikuwa cjajijua km nna mimba)na sasa nimekamata tena...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Naomba msaada wana jamvi, kuna hii imani ya kuwa mtoto akidondokewa na kitovu kinapokatika, ya kuwa kachululuu kanakuwa hakana kazi?je kuna ukweli ndani yake? na mtoto anatakiwa kuanza kusimamisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu madokta wa jf? Mm nina tatizo la ngozi ambalo linanifanya nikose hamu ya kuishi kwa sababu kila dokta ninayemwendea ananiambia tatizo lake, mwingine ananiambia allerg ya sulphur...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
natafuta haya mafuta ya biotin yanapatikana wapi? vipi gharama?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdogo wangu alikuwa anatumia dawa za lagactil na artane kwa sababu ya kutuliza kuchanganyikia kwa miezi minne, dawa zimemletea madhara zaidi ni wiki ya pili sasa toka aache kuzimeza, tatizo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari? je matumizi ya mipira ya mikojo maarufu kama catheters kwa watu wenye matatizo ya kibofu hasa wasichana je inaweza kuwaathiri vipi? au inaweza kutoa bikra?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JF Doctor Naomba ushauri wako ama chochote ambacho unaweza kunieleza. Nina tatizo la kifua hapa katikati kuna maumivu fulani nayasikia mara kwa mara, nilishawahi kupiga x-ray hospital fulani...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
APPLES Protects your heart, prevents constipation, Blocks diarrhea, Improves lung capacity Cushions joints APRICOTS Combats cancer, Controls blood pressure ,Saves your eyesight ,Shields...
3 Reactions
16 Replies
13K Views
mambo vipi wapendwa. Rafiki yangu anatatizo la kuumwa kila anapolala na mke wake. Ni kwamba anasema kwa sasa limekuwa sugu zamani hata vitatu anatoka yupo vizuri lakin kwa sasa bao moja tu analala...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Umuhimu wa matumizi ya chumvi kwa Binadamu "Salt" Chumvi. CHUMVI ni aina ya madini yenye umuhimu na faida nyingi, kwa mtumiaji, ikiwa atatumia kwa kiasi kinachotakiwa kwenye mlo wake. Kwa...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Titi langu moja linauma kwenye chuchu na ukibinya chuchu inatoa maji mazito kama usaha. Nilikwmbia call me haujafanya hivyo, kuna sababu nyingi zinasababisha hili tatizo lakini zote...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
good morning,..nimekuwa na tatizo la kuwa mwembamba sana kiasi cha kunifanya nijione tofauti na wenzangu!...lakini katika research zangu za kukabiliana na hili tatizo nikapewa taarifa na mtu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapendwa naomba kujuzwa madawa ya kulainisha nywele (relaxer) yasiyo na mercury. Maana mercury na hydroquinone ni hatari kwa afya zetu. nimesikia kuwa yapo lakini siyajui.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
by Megan Wilde 1. The Real World: Mental Hospital EditionThis is the true story of three schizophrenics, who all believed they were Jesus Christ. It wasn’t long before they stopped being polite...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Habari zenu wana Jf, Nina tatizo la kuwashwa sana ukeni,kuvimba uke na kupata vijipele vidogo vidogo visivyouma, iwapo tu nitajamiiana kwa kutumia Kondomu, Ila nikijamiiana bila kutumia Kondomu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Each Cigaratte CUTS 5.5 minutes from a SMOKE'S LIFE According to Scientist BRITISH LOYAL COLLEGE
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…