Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nina tatizo la ngozi ktk ngozi yangu ni la muda mrefu,nilikua natumia dawa kutoka kwa madaktari tofauti tofauti lakin sasa nimechoka hvo nahitaji dr bingwa wa magonjwa ya ngozi atakaemaliza tatizo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WanaJF na JF Dr. Kila kiungo cha mwanadamu ambacho kiko tofauti kinajulikana kama kilema, swali langu je mwanya (nafasi kati ya meno) nao ni kilema?
0 Reactions
15 Replies
7K Views
habari zenu wana jf,nahitaji kujua na kupata ushauri wenu kwani katika sehemu yangu ya siri(uume)imekuwa ikitokwa na vipere vidogodogo jaman sasa nashindwa hata kuelewa nini hasa tatizo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
James Magai RIPOTI ya uchunguzi wa sakata la kudungwa sindano tata mtoto Imran Mwerangi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imekamilika na tayari imepelekwa Wizara ya Afya na Ustawi wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani naomba msaada wenu,maana mwenzenu nilikuwa najisaidia sana choo kigumu hadi nikapata mpasuko katika sehemu ya haja kubwa,nilielekezwa kutumia vidonge vya ANUS but ilinisaidia tu kukata...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Nategemea kuoa hivi karibuni lakini sharti la kwanza nimeambiwa nikapime ukimwi,ukweli naogopa sana na kila wakati nikifikilia hilo jambo la upimaji,mpenzi wangu amegoma kushirikiana na mimi mpaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
It's long but very true We all think eating fruits means just buying fruits, cutting it and just popping it into our mouths. It's not as easy as you think. It's important to know how and when to...
6 Reactions
12 Replies
5K Views
Tatizo la kupumua kwa shida kwa mwanamke mjamzto lasababishwa na nn na moyo kumuenda taratibu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wapendwa? hebu naomba mnijuze kwenye hili.............. Hivi kwa mama (mzazi) aliyeathirika na gonjwa la ukimwi ni salama kweli kwa mtoto kunyonya kwenye ziwa lake? Na kama sio basi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
msaada p'se for a friend of mine: Alikuwa na mimba ikiwa imefikasha miezi 5 alisitisha tendo la ndoa, mwaka umeisha sasa kajifungua, mtoto anamiezi mitatu juzi ameshiriki tendo la ndoa baada ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
kuna taarifa za kusikitisha kwa watumiaji condom'condom zote zilizoingizwa chini ya kampuni ya katibu mkuu wizara ya afya na mganga mkuu hazifai kwa kuwa zina matundu makubwa mno na zipo chini ya...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hapa mbele umekaa kama umeungua yaani ni mweupe dawa yake ni nini nahitaji msaada tafadhali
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Moyo ni ogani (organ) muhimu sana katika maisha ya uhai wa mwanadamu. Unapozungumzia moyo katika mwili wa mwanadamu ni sawa na kuzungumzia injini katika chombo cha moto. Hali hii inatokana na...
1 Reactions
3 Replies
24K Views
nyinyi ma baba zangu na makaka zangu hakuna mgonjwa dunian anaeumwa maradhi ya nguvu za kiume now niukosefu wa connection kati yenu wawili mzee anaweza kwenda rounds 5 nakuendela na kijana hata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, nina siku kama tatu kila niamkapo nasikia maumivu makali kiunoni?je inasababishwa na nini?na dawa yake ni nini? Ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wanaopenda sana kula nyama nyekundu kama vile nyama za ng'ombe , mbuzi au 'kitimoto' wana uwezekano mkubwa wa kupata upofu kwenye uzee wao. Matokeo ya utafiti wa wanasayansi umegundua kwamba...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Ugonjwa wa kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Treponema pallidum. Ugonjwa wa huu ni kati ya magonjwa ya zinaa yanayoongoza kwa kusababisha madhara mengi. Maambukizi ya...
2 Reactions
0 Replies
28K Views
Nilipata kicheche m1 hivi nikasema ngoja nisuze rungu sasa yule demu sijui ni wakitanga? Aisee yani masaa mawili kitu akishuki sasa sijui ndio preapism. Jamaa yangu ndio kaniuliza,nikashindwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Share this Chart with everyone - PRINT IT Apples Protects your heart prevents constipation Blocks diarrhea Improves lung capacity Cushions joints Apricots Combats cancer Controls blood...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Boy, 5, lives his life as a GIRL after becoming one of the youngest ever to be diagnosed on the NHS with 'Gender Identity Disorder' Zach Avery, 5, refused to live as a boy when he was just THREE...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom