Jamani unyayo wangu ni mgumu sana kiasi kwamba nikikugusa naweza kukuchuna kabisa na kukutoa damu, nimejaribu kuangalia nyayo za watu wengine naona ni laini sana ukilinganisha na zangu, sasa hii...
wadau proffesa sousan wa Marekani pamoja na wenzake wa JOHN HOPSKN UNIVERSITY, wamegundua kuwa matumizi ya ARV yanaweza mfanya mtu mwenye HIV anayetumia ARV kusex na mtu asiye na HIV na asipate...
Nimesoma habari katika gazeti moja la kila siku juu ya taarifa za kugundulika kwa dawa ya ukimwi.kimsingi gazeti linapotosha taarifa au mantiki ya taarifa ya wanasayansi.wao wamegundua kuwa...
Leon Bahati
UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya...
From, Dr. Malebo H (NIMR)
Please take this seriously and if possible keep a copy at HOME .!!!
Make a checklist; check whether this medicine is in your home or whether it has been recommended by...
Ndugu wana JF, Kutokana na harakati za kimaisha Ndugu yangu wa karibu kapigwa na "stroke" huu ni
mwezi wa nne sasa yupo kitandani. Mguu na mkono havijaweza kujimudu hadi sasa ingawa anaendelea...
Ndugu wote,
Habari kuu ya gazeti la Mwananchi la Jumatano Februari 8/2012 inasema kuwa mojawapo ya vyanzo vya ugumba kwa wanaume ni kubeba laptop. Habari husika inazingatia matokeo ya utafiti...
UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya waathirika wa...
naombeni msaada nina mpenzi pata miaka mitano sasa, ila kila tukiduu napata maumivu makali baada ya kumaliza paka kesho yake nakunywa dawa za maumivu, ila kunastaili akiniweka ndiyo naumwa siku...
Wadau nina maswali kadhaa naomba mnisaidie
1. ukienda kupima malaria madaktari mnaandika B/S nini maana yake?
2. Kwa nini watoto walioshikana wakati wa kuzaliwa yaani siamen twins hawaezi kula...
Uke na SEHEM YA KUNYEA vinapaswa kuoshwa mara kwa mara na kubakia vikavu. Ni jambo zuri kuepuka
kuchangia mataulo na ndugu wengine katika familia au marafiki kwani yanaweza kusababisha
kuenea kwa...
Inapata mwezi mmoja sasa nashindwa kumridhisha mpenzi wangu nimekuwa nikijiuliza sana maswali bila mafanikio..sasa leo nimeona bora ilitatizo langu nilitafutie ufumbuzi kwaimani yangu hapa...
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani...
awali nilisikia ni watoto ndo wanaotoka mafuta futa meupe kwenye pua. je sababu ni nini?
mimi nina miaka 27 lakini nikiminya pua yangu inatoa mafuta meupe. sababu ni nini wakuu.
Tohara (Kukata govi) Suna
Tohara (kutoka Kiarabu طهارة tahara - safi, tahiri) ni upasuaji mdogo wa kukata na kuondoa govi, yaani ngozi inayofunika kichwa cha uume...
Ukitaka kufa mapema au kuondokewa na jamaa yako wewe wapeleke jamaa zako hospitali hizi.
Regency is even worse maana madaktari huwa wanakimbia mpaka ndugu wa mgonjwa hali ikiwa mbaya. Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.