Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba
Send to a friend
Tuesday, 07 February 2012 20:53
0digg
Florence Majani
UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana...
Meningitis
Meningitis ni uvimbi wa bongo.[1] Kuvimba huku kunasababishwa na virusi, au bakteria au hata pia kutumia dawa fulani. Meningitis ni maradhi yanayoweza kuuwa kwa ajili ya kuwa uvimbe...
Kidney from Gray's Anatomy
Figo ni kiungo cha mwili ambacho kazi chake ni cha kutatanisha. Mafigo yanafanya kazi muhimu mbalimbali kwa mwili wa binadamu. Ila kazi yao ya juu ni ya kusawazisha...
FAIDA YA SEX KWA AFYA YA MWILI;Huongeza umri wa kuishi
FAIDA SEX KWA AFYA YA MWILI
Huimarisha immune system kwenye mwili.
Wanandoa ambao hushiriki angalau mara mbili kwa wiki walionesha kiwango...
Karibia kila siku ninapokuwa nimelala usiku wa manane kama saa tisa hiv nasikia kitu/ mtu anakula mifupa ndan ya chumba nilicholala kwa woga naogopa kuamka ili nione ni nini? Tafadhali nisaidieni...
MIMBA
Mimba ilitungwa baada ya baba kutoa hongo kwa kimada
Ili kuthibitisha kama ni mimba kweli kimada akatoa rushwa kwa daktari ili apimwe harakaharaka kwa kuwa kulikuwa na msongamano wa...
Wakuu naomba ushauri, nina mtoto wa mwaka mmoja na miezi Miwili na mipango yetu ni kuwa na watoto wawili tuu Mungu akipenda, na tulipendelea wasipishane sana umri, ili tumalize mambo ya uzazi...
Jamani ndungu yangu anasumbuliwa na fangasi miaka mitano sasa bila kupona, zimekuwachronic anajisikia maumivu makali , anawashwa muda wote, korodani zimejikunja na zimekuwa ngumu sana, dama...
Ugonjwa sugu wa figo hutokea pale figo zinazopoteza uwezo wa kutenda kazi unaotokea taratibu na kudumu baada ya kitambo fulani. Hali hii hutokea taratibu, na huchukua muda wa takribani miezi...
habari jf doctors
naombeni ushauri tafadhali.
Nasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo upande wa kulia mpaka karibia na kitovu, vikiambatana na kichefuchefu na kukosa hamu ya kula.
Nikaenda...
Wasalaamu kaka zangu na dada zangu wana JF.
Mimi ni kijana mwanaume (36yrs) na nusu ya umri wangu nimeishi kijijini. Nabainisha hilo ili kuondoa shaka au dhana kuwa labda sikuzoea maisha ya...
wadau naombeni msaada asali nyingi za hapa bongo zimechakachuliwa, i am real inthe need of natural honey, tena asali mbichi, anybody who can help please PM me uniambie bei, na ntakupataje,naamini...
KUTOKANA NA KIBURI CHA SERIKALI KUSHINDWA KUTATUA MGOGORO WA MADAKTARI ,INASEMEKANA KUWA ZAIDI YA MADAKTARI 100 WANATARAJIWA KUONDOKA NCHINI HIVI HUU KUFANYA KAZI KATIKA MATAIFA MBALI MBALI NA HII...
naombeni msaada nina jipu kubwa kwenye paja langu la kulia'kwa kweli juzi usiku sikulala homa kali na joto kali la mwili'nimeenda kumwona doktari akanipa antbiotic na asprin na sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.