Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ni ajabu lakini kweli! Siku zote twaambiwa wanaume huishi miaka kidogo ukilinganisha na wanawake. Sababu zinazotolewa huwa za kawaida - ajali zaidi, kuhangaika zaidi, nk. Pia tunaambiwa wanawake...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Watoto 300 walio chini ya miaka mitano nchini hufa kila siku kutokana na magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa lishe na asilimia 42 chini ya umri huo hudumaa kutokana na tatizo hilo, ripoti ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mwenzenu nina tatizo la kutoka majasho kwa wingi kuliko kawaida, kiasi kwamba hali hii hunikera sana na wakati mwingine had nakua kituko mbele za watu kwa kusweat pasipo na sababu ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani wana JF wenzangu naombeni msaada mwenzenu kiuno na mgongo vinaniuma sana hasa nikiwa nimelala au kukaa kwenye kiti.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Please take this seriously and if possible keep a copy at HOME….!!! Make a checklist; check whether this medicine is in your home or whether it has been recommended by your doctor… Please DO NOT...
2 Reactions
2 Replies
982 Views
Jamani wana JF,ni kweli kwamba kufanya tendo la ndoa na mama anyonyeshae mtoto kunamathiri mtoto anyonyea?kuna husemi kuwa mtoto "amebemendwa" ikimaanisha mtoto huwa na afya mbaya au kuchelewa...
0 Reactions
17 Replies
19K Views
Wana Jf naomba ushauri,mi tatizo langu ni kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida yaani msosi ukifika mezani naongeza kabla ya kuonja...!?.Bila shaka ingekuwepo tuzo ya watumiaji chumvi ningechukua...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Unaweza ukashangaa kujua kwamba: 1. ULIMI wako ni kama alama zako za vidole! Ukitaka usitambuliwe basi ficha huo ulimi wako maana unaweza kutumika kukubamba kama unatafutwa kama vile finger...
1 Reactions
8 Replies
14K Views
Habari wana jf wenzangu,nilikuwa nauliza je ni kweli kuwa endapo mwanaume atafanya mapenzi na mwanamke siku ambazo mwanamke anaweza kupata mimba,je wakimaliza kufanya mapenzi na yule mwanamke...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
habari wana Jamii, jamani naomba mnisaidie ili niweze kumpa ushauri rafiki yangu...maana nimebaki mdomo wazi aliponiuliza hili swali. eti inachukua muda gani baada ya mwanamke kujifungua hadi...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wapenda wa mtandao huu naomba usaidizi wenu kuhusu figili ( celery ) zinafaida gani , naomba wasomi mnifahamishe kupitia huu mtandao ...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wakuu naomba clarification ya side effects za grand malt coz mi naitumia regularly kama njia mbadala ya alcohol bt nikishai2mia huwa napata erection isiyo ya kawaida..,...erection ya masaa mengi 2...
0 Reactions
24 Replies
21K Views
assalam aleikhum. ndugu zangu naomba mnifahamishe nini faida ya figili ( CELERY ) nawaombeni msaada wenu.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa upande wa kushoto ikiandamana na maumivu kidogo ya meno ya upande wa juu lakini hayajatoboka wala hayajalegea kwa ujumla nayatunza sana meno yangu vilevile na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Upande wangu wa kulia chini ya kitovu una maumivu makali yanayoambatana na tumbo kuunguruma.Nimefanya vipimo vya Ultrasound nikaambiwa kuwa sina tatizo.Mahala hapa bado panauma.Hili ni tatizo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa tamko lililotolewa na taasisi za haki za binadamu zinasema watu taklibani watu 1200 wamefariki katika hospitari zote ambazo zilikuwa na mgomo huku maelfu wakiwa Amepata athali zaidi kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nina tatizo la koo kwa miaka miwili sasa nimeenda hospitali na kufanyiwa vipimo nimeambiwa nina cricopharyingits nimetumia dawa intulia kwa muda kisha hali inarudi tena nimeenda kwa tiba mbadala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf doctors,nimekutana na swali hili,kwann mtoto anapozaliwa tu ni lazima alie? Je asipolia atakuwa na matatizo ya kiafya? Wataalam mnijuze
0 Reactions
5 Replies
4K Views
kuna dada fulani kila anapofanya tendo la ndoa na mumewe anapata maumivu ya tumbo once baada ya kumaliza kwa tendo ilo,maumivu hudumu kwa muda mrefu,,ameshaenda spitali but hajapata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom