Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jmn najua humu kuna madokta naomben msaada wa kufahamishwa madhara yanayoweza kumpata mwanaume endapo atakaa mda mrefu bila ku do kama hayapo je kuna faida? Ni zip? NAWASILISHA
1 Reactions
21 Replies
30K Views
MKE WANGU ANA MTOTO WA MWAKA 1 NA NUSU.AFYA YAKE NI MGOGORO.NA ALIJIFUNGUA KWA UPASUAJI.NI MTOTO WETU WA 1.HOSPITAL WALISHAURI ANGALAU AKAE MIAKA 3 HADI 4 NDIO AZAE TENA.ALIKATAA KUTUMIA NJIA ZA...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Ndugu zangu madokta ndani ya JF. Jana usiku wakati naenda haja kubwa nilihisi tumbo la kuharisha ambapo wakati ikitoka nilihisi kuna kitu kinachoma na kusababisha maumivu makakali sana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kupitia kipindi cha 'Dakika 45' ITV kasikika akisema: @Intern Doctors ni wanafunzi wa mwaka 5 wa udaktari(MD5) na bado wahajawa madaktari. @Chama cha mataktari(MAT) hawapaswi kuwatetea Intern...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Black Seed Oil Black cumin oil is safe enough to use as a household remedy for almost every ailment from stomach ache, insect stings, allergies, colds, flu, bruises, hair loss, lethargy etc.. This...
1 Reactions
7 Replies
15K Views
Habari wanajamii! Nimefuatilia kwa kina mgogoro unaoendelea kati ya Serikali kwa upande mmoja na Madaktari kwa upande mwigine. Ukweli inasikitisha sana kuona kwamba dhani ya uzalendo imetoweka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Mwaisela 2. Sewahaji 3. Kibasila
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, Naomba mnisaidie DAWA itakayo msaidia Mama yangu, vipimo vinaonesha SPLEEN yake is enlarged to 12.6cm na Daktari ameniambia siyo normal na amempa dawa lkn last time...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wataalam kunakitu najiuliza sipati majibu. Nimekuwa kila nikikojoa huwa najisikia raha sana kwenye mrija wa uume unaopitisha mkojo. Pindi nikojoapo mkojo huwa unanistarehesha sana na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini doctors na memba wa jf, jamani kuna mtoto wa shemeji yangu ana miaka 2 na nusu akilia kuna uvimbe mkubwa kama yai la kienyeji unatokea sehemu ya juu ya uke kwa nje upande wa kulia, mtoto...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
wana jf naomba kulizi mpenzi wangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji maji ukeni kiasi cha kufanya nishindwe kumwingilia tatizo ni nini hapa wakuuuu
0 Reactions
29 Replies
14K Views
Naomba mnisaidie dawa ya kuondoa rangi ya kijani kama kutu kwenye meno hii inasababishwa na nini ? na hii rangi ina madhara? nilienda dental clinic moja wakaniambia kusafisha ni shs. 45,000
0 Reactions
6 Replies
6K Views
MAFAHARI WAWILI WAGOMBANAPO= NYASI NDO ZNAZOUMIA. Huu ndo msemo sahihi tnaoweza kuutmia wakati huu wa migomo ya madakitari wetu. Huu ni msuguano baina ya pande mbili. Serikali na Madaktari...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Pamoja na salamu kwa wana JF wote ! Naomba kama kuna mtu anafahamu dawa ya kutibu au kutuliza "FLATULENCE". Kuna jamaa alinipa e-mail ya mtu mmoja ambae inasemekana anauza vitabu ambavyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wearing high heels on a regular basis can cause leg muscle damage and change the way a woman walks even after taking the shoes off, findings suggest. In a study published in The Journal of Applied...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kijana mmoja wa kiume anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 14 hapa DAR amenishamngaza sana mpaka nikaona niulize. Kijana huyu ana sehemu mbili ktk kichwa chake zinacheza kama utosi wa mtoto mchanga...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Shocking Soda Fact #1: Soda fattens up your organs A recent Danish study revealed that drinking non-diet soda leads to dramatic increases in dangerous hard-to-detect fats. Researchers asked...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimetoboa masikio ila hayajapona na moja linatoa maji maji. Bado nimevaa hereni nilizowekewa na sonara ni mwezi sasa umekatika. Nifanyaje? mana naogopa hii hali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia redioni kuhusu tangazo juu ya kampeni ya upuliziaji dawa ya ukoko ya kuua mbu waenezao ugonjwa wa maralia kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa mikoa ya Mwanza Mara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
AIDS/HIV and Coconut Oil Can coconut oil reduce the viral load of HIV-AIDS patients? "Initial trials have confirmed that coconut oil does have an anti-viral effect and can beneficially reduce the...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom