Coconut Oil Touted as Alzheimer's Remedy
Researchers say the ketones found in coconut oil have slowed the progression of Alzheimer's disease in some people and may actually prevent it.
Health...
Inasikitisha kuona Makao makuu ya Wizara inakuwa na Madaktari zaidi ya 80 ambao wanafanya kazi za kisiasa wakati sisi katika wilaya yetu hatuna Daktari( MD) hata mmoja kwani hata DMO aliepo ni AMO...
Mabrodaaaaaz na masistaaz karibuni kwenye mazoezi kweli nilisoma hapa kwa blog ni jinsi gani nitakata wait sasa tupo kama dadaz wanne hivi sasa tunatembea muda wa 1hr na pia nakula kidogo ni kama...
Salaam wana jf. Naomba kuwasilisha kwenu mada hyo iliyoko kwenye mfumo wa ushauri.
Utawala wa mkolon ulitumia mbinu ya " wagawe kisha uwatawale" kwa mazungumzo ya mtoto wa mkulima na serikal...
machoni kwangu nikiagalia vitu kama karatasi nyeupe,angani au kwenye maji,naonakunavidoti vyeusi.alafu macho yangu naona mazito sana nifanyeje sasa.shule ya boarding niliyosoma ilikua maharage only
doctor wetu poleni sana. mimi nawaombeni kama watawalazimisha kwenda kazini nanyi mkakubali, basi nawaombeni mtuonee huruma. Muogopeni Mungu jamani, msitupasuwe vichwa badala ya miguu sababu kosa...
Hivi kweli unaweza kununua tairi mpya za gari ikiwa gari lenyewe
halina mafuta
viongozi wakuu serikali ya tanzania mnaakili timamu au mnakurupuka tu hivi kwanini hizo posho msiziamishie kwenye...
Kwanini uhalalishaji wa utoaji wa mimba si mzuri kwa afya ya Mwanamke? Uthibitisho Unaonyesha ya kwamba utoaji mimba upunguzi vifo vya wanawake wajawazito.waasisi wa ualalishaji wa utoaji mimba...
Ndugu zangu , assalam aleikhum.
Napenda kuchukua nafasi kuulizia mtu mwenye sukari anaweza kutumia asali au kuna asali ya aina
nyingine ambayo siijui, naomba msaada wenu .
Sijafanya search yeyote kuona kama hiki ninachokitaka kipo tayari kwenye JF kwa hiyo msinizodoe.
Mimi ni mgonjwa wa kisukari (IDDM -- Insulin Dependent Diabetes Mellitus or Type I), na kulingana...
please naitaji kujua madhara ya kujichua pia naitaji kuelwanjia za kuacha kujichua kwani ni nimekua very addicted na hii tabia please need a help pia naitaji kuonana na docta wa magonjwa ya...
Madokta wetu wanafanya makosa mengi ambayo yanagharimu maisha ya watu lakini hawakubali makosa!
Brian Goldman: Doctors make mistakes. Can we talk about that? - YouTube
Huyu Doctor Mwisho Sijapata Kuona.
Kumbe kujichua Nayo Ni Tiba?
Funguka nacho kisa hiki:
Kuna brother wangu ametoka kijijini kama miezi miwili nipo nae Town, Kabla ya hapo hajawahi kuwa mbali na...
http://maajabuyamaji.com/
KUNYWA MAJI BAADA YA KUSIKIA KIU NI KUJIANDALIA KIFO CHA MAPEMA NA CHENYE MAUMIVU SANA:
Muda gani unamwagilia maji bustani yako? Kwa hakika ni asubuhi au jioni na si...
Wandugu habari zenu binafsi!
Hebu nisaidieni tafadhali. Nishawahi kusikia mara nyingi tu katika mazungumzo ya hapa na pale kuwa mwanamke akishajifungua mara ya kwanza maumivu ya tumbo la siku...