Habari wakuu,matabibu,madakta na wenye uelewa wa hii kitu. Mwanangu alikuwa natatizo linalotambulika adenoids tonsilits.amekwisha fanyiwa upasuaji mara 5 toka mwaka 2005 -2011 ktk hospitali ya...
wakuu mgomo wa madaktari unaendelea kushika kasi,ni mgomo unaweka historia kwa kuhusisha sehemu kubwa ya tanzania.ninavyoona wizara ya afya imeshindwa kutatua mgogoro huu kwani wao ndio sehemu ya...
wamesema kamwe hawatatoroka kwenda nchi nyingine kisa mazingira mabaya ya kazi hapa nchini.kamwe hawatakimbilia botswana,malawi,lesotho au rwanda.wamesema watapigania maslahi yao hapa hapa...
Jaman nisaidieni dawa au technique ya kuepuka kutoa udenda pale tu nikamatwapo na usingizi.Hali hii sikuwa nayo ila imeanza tangu wiki iliyopita namwaga udenda kitandani hadi...
Babu wa Samunge amewaasa waliokunywa dawa na bado hawajapona basi warudi Samunge wanywe tena kikombe.Ameelezea kuwa yeye sio mganga wa kienyeji hivyo imani ni muhimu sana.
Source ;
EA-Radio...
Habari wana JF!!
Hii serikali changanya na hawa madaktari wote wametuweka pabaya wale ambao afya zetu zimeyumba kidogo.
Kwa pamoja tushirikiane tuanzishe chama cha kutetea wagonjwa maana kati...
Wadau,
Mimi nimewahi kwenda kutibiwa pale kwa mama ngoma hospital, yani dokta ngoma he is money oriented yeye ndio specialist wa magonjwa yote katika hospitali yake na yeye ndio bosi,kama hayupo...
Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii inatakiwa kuchukua hatua za haraka kumaliza mgogoro baina yao na madaktari ili kuepusha madhara makubwa katika upatikanaji wa huduma za afya nchini. Ijulikane...
Naamin hapa nitapata jibu na ufafanuzi wa shida yangu.
Mim nimekuwa siri chakula cha mchana na badala yake mda huo nimekuwa nikira matunda kama machungwa,ndizi,embe,tikiti,tango na kutafuna...
Constipation
General Info about Constipation
Constipation refers to the infrequent or difficult passing of stool. It is the most common digestive complaint yet, is treated as a symptom...
Wakuu Naomba msaada. Nikienda kukojoa nakuta kuna ute mweupe Kwenye kichwa cha uume. Ila nikikojoa natoa mkojo wa kawaida na sina maumivu yoyote. Ni kitu gani hiki?
Habari,
Jamani huu ugonjwa wa kansa mbona unaongezeka kwa bongo? Miaka miwili nyuma rafiki yangu alipoteza wazazi wake 2 kwa ugonjwa huu baadae jirani akafariki. Na sasa kuna jirani yangu...
Wakuu naomba kuuliza kama kuna dawa yoyote ya hasira.
Kwani sasa hivi nimekuwa na hasira ambazo nashindwa hata kujua chanzo chake ni nin?
Kwani nimekuwa sitaki au kusikia mtu yeyote akiongea...
Leo katika gazeti la Mwananchi , kuna taarifa ya Makamu wa Rais wa Chama cha madaktari Tanzania (MAT), Primus Saidia kwamba Majibu toka kwa mwakilishi wa ofisi ya Waziri Mkuu yamewakatisha tamaa...
Nimefanya mapenzi na watu tofauti tofauti,kuna wengine nilikuwa nawapa uume wangu wananyonya na wengine hadi wanakunywa mbegu zangu za kiume.uwezekano wa maambukizi ya ukimwi hapo yako kwa kiasi...
David ana umri miaka 29 sasa anategemea kufunga ndoa siku za karibuni na mpenzi wake,toka alipobalehe alikuwa akipiga punyeto kukidhi tamaa zake za mwili pale anapokosa mpenzi mpaka kufikia umri...
Mpenzi wangu nampenda tabia na hata muonekano wake kwangu naupenda sana ila viganja vyake vya mkono ni vikavu kiasi cha kusababisha kuniumisa wakati wa kutomasana.NASISITIZA NAMPENDA ILA TATIZO...
CONCERNS are mounting among anti-AIDS activists and groups of people living with HIV and AID that, Babu Ambikile Mwasapile, a senior citizen who last year dominated media headlines for his...