Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mwenzenu kila nikikojoa njia ya mkojo huwa inaniuma sana je?nitumie dawa gani?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
napata maumivu nyuma ya shingo kwa chini mpaka maeneo ya mgongo tatizo ni nini msaada jamani wataalamu
0 Reactions
7 Replies
4K Views
wakuu, baba mzazi wa rafiki yangu anaugua cancer ya mifupa kwa muda sasa, familia wamempeleka ocean road naomba kuuliza kwa wanaojua tiba au dawa za kumsaidia atujuze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nipo kwenye mkutano, saidia anasoma makubaliano na maazimio ya mkutano uliopita. Naibu waziri wa afya anategemewa kuwepo leo,nitawapa updates.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna mdogo wangu anatokwa na vipele,akimeza dawa za aleji,vinaisha,kisha vinarudi tena!nimempeleka hospital moja wamedai nikamfanyie aleji test kwenye hospital kubwa,mi nipo dar.je hii inaweza...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wandg na poleni na msiba wa mwanachama mwenzetu. Tafadhari mwenye ripoti ya mkutana wa madaktari uliofanyika jana Dar na Zone zote TZ atujuze. Kila la kheri katika ujenzi wa taifa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimepoteza uncle zangu wawili, na wote wamekufa na ugonjwa ambao hospitali wanasema ni cancer ya sehemu za uzazi za mwanaume....haswa wakifikisha miaka 50 nakuendelea... je hii cancer...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
I took a test on full blood picture, and the results diagnosed me with too much blood of about 165. well the doctor said for a normal black men the highest is 150. and also there is an elevator on...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Tamko la Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) Kikao cha mkutano mkuu wa dharura wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) kilichofanyika leo siku ya jumamosi, tarehe 14/01/2012 ukumbi wa JAFFARY...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Dawa bandia za malaria zaongeza madhara mgonjwa wa malaria Wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamesema kuwa ongezeko la dawa bandia barani Afrika, ni pigo kubwa katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unene huu, nimepiga mazoezi ya kutosha muda mrefu haupungui, nimefuata diet ndio kwanza unaongezeka ..nataka upungue fasta inashindikana...unene huu mzigo kama kuna ushauri wa kuupunguza fasta...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu heshima Kwenu. Naomba kwa anayejua kwa uhakika/aliyesomea mambo haya anipe ufafanuzi juu ya maswali yangu hapo chini. 1)Tuchukulie mfano kuwa,mwanamke ambaye ni Bisexual ametoka kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wana jf doctor..samahani boyfriend wangu anaumwa sana kichwa mpaka damu zamtoka puani nyingi tuu..mpaka sometimes hua adondoka kwa ajiri ya kizunguzungu...na kina msumbua mda mrefu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
helo,ni sehem yake ndo inawasha hasa ya ndani lkn sio ndan kabisa napata ilo tatizo kila nimalizapo kubleed na kwa usafi uwa najitahidi sana,nitumie dawa gani?
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Mgonjwa hazuiwi tiba, tuache kuwabeza waloenda Loliondo kupata kikombe. Ona hii; habari ya kweli! Sikuwa nikijua kuwa nina madonda ya tumbo, ila nilikuwa nikisumbuliwa na matatizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa, Jamani mimi mwenzenu katika hizi siku kama 3 hivi nimepata tatizo la ukavu kwenye lips na sometimes nahisi kuna burning feeling. Naomba nisaidieni inasababishwa na nini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari zenu wana jf doctor..samahani boyfriend wangu anaumwa sana kichwa mpaka damu zamtoka puani nyingi tuu..mpaka sometimes hua adondoka kwa ajiri ya kizunguzungu...na kina msumbua mda mrefu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu poleni kwa msiba mzito! Kama title yangu inavyosema hapo juu.Hili tatizo linasababishwa na nini? Wala siumwi.Nikisikia harufu ya vitunguu vya kukaanga na mavitu vitu vingine,nakohoa mno...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tamko la Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) Kikao cha mkutano mkuu wa dharura wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) kilichofanyika leo siku ya jumamosi, tarehe 14/01/2012 ukumbi wa JAFFARY...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanajf naomba msaada sasa miaka miwili ni kusumbuliwa na fangus wasiopono dawa nilizotumia whitefield , na zingine nyingi hospitali nimeenda na kuchukua vipimo na nikapewa na dawa.lakini mpaka...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Back
Top Bottom