Hi jf! Dr! Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia mlio wa cm yangu ikiita, hata kama haiti. Yaani nikiwa nimetulia, natembea na hata kulala huwa naisikia ikiita japokuwa ina...
Leo ni mara ya pili wife kulalamika maumivu makali kwenye titi lake anapatwa na kama kichomi au kama kitu kinachoma. Jee wadau ni nn? Naomba msaada ma great thinker
Siku ukijisikia una ma stress yako mengi, au umechoka sana, ingia humu kabla ya kulala, tafuta thread yoyote ya Malaria Sugu isome, hakika stress zako zote zinaisha na unalala unono. nimeshajaribu...
Nataka Ushauri wenu Kuna dada mmoja amenijia ana matatizo hayo hapo chini je Wana JF Naombeni Ushauri wenu nimsaidie vipi? haya someni matatizo yake hapo chini
Mimi nimemsoma dada ditto kuwa...
Jf natumaini tumeupokea mwaka vizuri na kwa upande wangu naona nimeupokea mwaka vizuri zaidi maana nina ujauzito unaelekea miezi mitatu sasa bado sijaanza kliniki tatizo langu ni hili hapa...
JD please kwa yeyote anayeweza kunisaidia mafuta au lotion ambayo inaweza kufanya uso wangu uwe soft bila chunusi wala makovu. Nimetumia mafuta na lotion ya kila aina lakini naona kama namaliza...
Utafiti uliofanywa na vituo bingwa duniani unaonyesha kuwa watu wengi akili(brain) inaanza kupwaya pindi unapofikia miaka 40 na kuendelea. Hii imeushangaza ulimwengu ukioamini kwamba akili ya...
Habari wakuu najua hapa JF hasa hili Jukwaa la JF Doctor kuna hazina kubwa tu ya information ningependa kufahamu wapi naweza kupata Dermatologist mzuri hapa Dar Es Salaam. Kwa anayefahamu atakuwa...
utafiti wa hivi karibuni umegundua kwamba walaji wa junk/fast food kwa wingi wanahatarisha afya ya akili, hasa watakapofika 45+yrs. Badala yake SAMAKI, MBOGA na MATUNDA ndo mwendo wa kijanja...
Kituko cha mwaka kimeibuka katika hospitali ya wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, baada ya daktari mmoja wa upasuaji hospitalini kumuacha mgonjwa kwenye kitanda cha upasuaji na kukimbilia...
Nilikuja hapa na threat ilikuwa inasema Mimba Calculation watu walitoa details za mda wa kuzaa mara baada ya kupata mimiba. Na mwisho wa siku jibu nililolipata ni kuwa yule mwenye mimba anatakiwa...
uchunguzi uliofanyika hivi karibuni katika nchi za kiafrika umeonyesha kuwa ,wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kutoambukizwa ukimwi kwa asilimia hamsini.UJUMBE; tuwapeleke watoto wetu...
habari zenu wana JF
nimesoma kwenye gazeti yakwamba laptop humaliza nguvu za kiume hasa pale unapotumia internet [ ukiipakata kwenye mapaja ]
swali langu ni hii::
hawa dada zetu wanavyo...
Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
wakuu nataka msaada mwenzenu nimeachwa mdomo wazi baada ya kumuona mke wa jilani yangu kajifungua mtoto akiwa na meno mawili mdomoni. hii hutokana na nini na inaweza kuwa na athari gani msaada plz
Wakuu,
Hivi kuna speshalisti wa wanaume? Anapatikana wapi?
Kuna maradhi ambayo kama mwanaume unatakiwa kukutakana na daktari bingwa na umweleze akupa ushauri au matibabu accordingly. Hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.