Sijui kama watu wengi wanajua hii
imeingia fashen ya 'kuosha matunda na sabuni ya unga Dar...
matunda kama machungwa,maembe,matikiti....kwa wauza matunda hasa wa barabarani...
ukiona matunda...
Naombeni msaada wenu hata wa mawazo wana jf, ni wiki ya tatu sasa mwenzenu kiuno na mgongo vinaniuma sana hasa ninapokuwa nimelala au kukaa, nimeshaenda hospitali na nimetumia dawa nilizoandikiwa...
Nina rafik yang ambae hayumo umu. Na mm ndie mtu ambae huwa tunashare siri na kushauriana. Jamaa ni mtu safi na smart kila wakati, hivi karibun amepata tatizo ambalo halielewi. Ananiambia...
Jaman za hasubuhi?mim mzunguko wangu wa siku ni siku 34.sasa juzi umefka muda wa kuona siku zangu nashangaa niliona vidamu vidogo nikipangusa,alafu baada ya siku kama 2 vikakatika.naomba msaada...
Habari za leo wana JF wenzangu? Ninakuja tena jamvini nikiwa nimeelemewa na tatizo ambalo kiukweli linaninyima usingizi maana sijui kabisa namna ya kulitatua. Iko hivi:
Mke wangu ana umri wa...
Habarini wana jamvi, nilikua nauliza je magonjwa ya kisonono na kaswende na magonjwa mengine ya zinaa yanaweza kuambukizwa kwa kushea choo na bafu? Mana nina mschana wangu msaidizi wa kazi za...
wana jf na docta.hivi hizi mimba kila mwanamke anaweza kupandikiziwa?au kunamazingira yanaweza kusababisha ishindikane kwa wengine?na mwanamke aliepandikizwa mwili wake utatengeneza maziwa na...
Maelekezo yake yanasomeka "........designed for the legs, arms, underarms and bikini line, not suitable for any other body parts......" sasa hii bikini line ina maanisha rukhsa kutumia kuondoa...
Usiogope kupima UKIMWI.pia usiogope KUCHUKUA MAJIBU YAKO.WATANZANIA WENGI NI WAGONJWA KWA SASA.USIJE UKASEMA UPO PEKE YAKO MWENYE MARADHI.KAZA MOYO WAKO NA WALA USIJUTIE MAJIBU YAKO YA HIV...
Wadau nina rafiki yangu anasumbuliwa na vipele matakoni,
vipele hivi huwa vinavimba viwili au kimoja juu ya ****,huwa kinauma ingawa huwa hakitungi usaha. huwa vinadum kwa mda mfupi kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.