jf dotors naombani msaada
dada yangu alipata ijauzito lakini mimba ilipokua na wiki mbili ghafle alianza kupata period then alipoenda hospitali akaambiwa mimba imeharibika akasafishwa. baada ya...
Mtoto wangu alizaliwa akachelewa kulia, hadi sasa shingo haijakaza na bado hajaweza kukaa vizr! Ana miez 9. Hv kuna uwezekano wa kukua vzr kama watoto wengine? Naomba msaada
Wana Jf naomba ushauri,mi tatizo langu ni kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida yaani msosi ukifika mezani naongezea kabla ya kuonja...!?.Bila shaka ingekuwepo tuzo ya watumiaji chumvi ningechukua...
wadau hapa mtaani kwetu kuna mganga wa kienyeji kutoka simbawanga anadai anarudisha bikra wa madada wote walio poteza
et kweli wadau inawezekana??????/
au anataka kuwatapeli pesa zao
Bandugu,
siku chache zilizopita - nilikwenda hospitali ya mikocheni kwa ajili ya matibabu. Kutokana na dalili nilizokuwa nazo daktari alishauri nipime vipimo mbalimbali ikiwemo kipimo cha sukari...
Habari zenu wana jf.
Dada yangu amesumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ki ukweli vina umri wa miaka miwili sasa imèfika hatua vinachachamaa hadi anagalagala chini katumia dawa nyingi sana bila...
Ndugu zangu wanafamilia wa JF nayotoa yangu matatizo kwenu ni hivi.
Kwa kipindi cha karibu miaka kumi sasa nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya ya tumbo, mwanzo nilikuwa sijui ni tatizo gani...
I often go to sleep thinking about the cup of coffee I'm going to have the next morning. I adore it! Whether your morning coffee is an estate-grown brew or just the best supermarket blend you can...
Hivi wale wahitimu wa vyuo vya afya na internship wameshapata ajira? Nimetafuta tangazo kwenye website ya wizara nimekosa. Mwenye update anisaidie. (natumia phone ukiweka pdf ntashindwa kusoma)
Habari wana jamii, mimi na mke wangu tuna kama miaka mitano tuko pamoja, ila kitu kinacho nitatiza nikuwa wakati tukitaka kufanya majambo...hasa kwenye foreplay huwa lubricant haitoki...what might...
Wadau kuna mshikaji wangu amekosa raha siku hizi, kwani anatokwa na vipele vidogo vidogo vyenye usaha kwapani. Mwanzo vilikua ni kwapa lake la kushoto tu lakini sasahivi anasema mpaka la kulia...
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka kama 20, april 2011, ghafra siku moja usiku akiwa amelala usingizi alikuwa kama anaota akawa amekaza mikono na miguu na amengata meno kama mtu mwenye kifafa...
mwanangu wa kike ana miezi nane na nusu, tatizo lake kubwa ni kuwa hataki kula kabisa, inaweza kupita hata siku 2 kila tukimpa uji au chakula kingine analia sana kiasi tunaamua kumwacha lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.