Wapendwa
Ninaomba msaada, figure yangu inaninyima usingizi. BF wangu anaelekea kunibwaga, ati anataka kitu portable unajua tena wenzetu..... Nimeenda Gym lakini bado tu!
Ninaomba...
Hi wana Jf wote
Namshukulu Munguu Wife Kajifungua salama ka baby Gal
Sasa kuna swala mOja nataka kujuzwa jinsi Bora zaidi ya kupunguza lile tumbo la Mimba
wadau ambao ni wakongwe kwenye haya kuna mke wa jamaa yangu anajisikia vibaya kila siku kama kutapika kuumwa tumbo kutokupenda kula nk anaujauzito wa miezi minne na pia nidawa gani anayotakiwa...
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia...
Ndugu zangu wana JF, naomba mnisaidie ni mafuta gani nitumie kujipaka usoni kwa sababu natokwa sana na mafuta usoni hashasa puani. nilishauriwa nisijipake mafuta usoni lakini hali haikubadilika...
nataka niache kabisa kutumia vyakula vitakavyo nifanya nipate kolestral, nimeanza zoezi hilo mwezi huu lakini mara nyingi sana najikuta nashinda na njaa kwa kukosa au kutokujua nile/ nipike nini...
Mimi nasoma chuo Mtwara lkn home ni Mwanzo,tatizo langu kl ninasafiri lzm nipate period,hata km si trh rasmi.Je hali hii husababishwa na nini?Pia hunichosha sana km kn dawa wadau nishaurini,hata...
Nina rafiki ambae ni bulimic,tokea anaanza kukua,tatizo kwa sasa sio weight loss but akila anaumwa tumbo so she vomits na kwa sasa anapata maumivu upande wa kulia wa mbavu na kwenye left...
Kubemenda nasikia ni kitendo cha mtoto kushindwa/kuchelewa kutembea ambako kunasababishwa na wazazi wake kufanya mapenzi mara kwa mara aidha wao wenyewe au kutoka nje ya ndoa.
Mtoto wangu ana...
WANA JF;
Kati ya vitu vinavyochangia pia uume kuwa mdogo ni kukosekana/upungufu wa mtiririko mzuri wa damu kwenye UUME. Na hii inachangiwa sana na mavazi tunayovaa sisi wanaume. Hasa chupi zetu...
Wadau..patient is 23 yrs old,Gravida 2 para 1 living 1..presenting with lower abdominal pain for 3hrs,preceeded by vaginal bleeding-fresh blood.
her BP 111/80 pulse 123
Fetal heart rates not...
Dr naomba unisaidie mimi ni mvulana....nimekuwa nikiumwa tumbo la kuhara na kukata kwa muda wa siku 1 au 2 pindi tu ninapotoka kufanya ngono na mpenzi wangu ,,nilibadili mpenzi lakina tatizo...
The benefits from being a NHO Card Member are innumerable. My entire preventive healthcare needs namely: Medical, dental, pharmacy and lab services are now taken care off. It is a one stop shop...
Sugaring is a fast, effective and long lasting method of hair removal. As an ancient hair-removal practice, Sugaring is an all natural method of removing unwanted hair. Sugaring is originated in...
Mke wangu ni mgonjwa wa jicho. Linauma tu halitoi matongotongo ile ni jekundu kwa juu. Ametumia Gentamycine eye drop na prednisolone eye drop lakini hajapata unafuu. Tiba gani inahitajika?
some researchers have come up with the mechanisim that can help expectant women on delivery.this mechanisim relieves tensions.ni mfumo ambao umeripotiwa kuwasaidia wakina mama wajawazito wakati wa...
Jamani nimekuwa na tatizo la kukojoa mkojo wenye rangi ya njano kuanzia nikiwa na miaka ishirini na nne hadi sasa ambapo nina umri wa miaka thelathini nimejaribu kwenda hospitali nyingi lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.