This incident happened recently in Belgium.
We need to be even more careful everywhere.
A woman went boating
one Sunday, taking with her some cans of coke which
she put in the...
Habarini wapendwa. Ningependwa kujuzwa ktk hili. Inafahamika kwa akinadada, msitari mweusi unaotokea maeneo ya ktovu kuelekea chini mitaa ya K, hujitokeza kama dalili za awali za ujauzito (naomba...
Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All?
Please be advised there are two sections on this topic, one by Dr. Stanley Ducharme, a sex therapist, and one by Dr. Ricardo Munarriz, a...
An Iranian Merchant with his Pistachios
Pistachio zina uwezo wa kupambana na seli zinazosababisha kensa na zinaweza kuzuia seli zisiharibiwe na radikali huru na kusababisha saratani. Hayo...
Mwanga wa jua unasaidia kuimarisha kinga ya mwili
Huku kwa muda mrefu ikiwa inaaminiwa kwamba Vitamini D inayotokana na mwanga wa jua inaimarisha mifupa, uchunguzi mpya umeonyesha kwamba...
siku za karibuni watoto wenye umri chini ya miaka 15 wana matatizo ya macho na kuwa lazimu kuvaa miwani,nini chanzo chake hasa wanafunzi kwa primary na secondary,inatisha!wataalamu saidieni hii shida.
Kwa akina dada wanaohitaji dawa ya kurefusha nywele na kuzifanya ziwe nzito wanaweza wakapiga namba hzi,(0716574636/0787638521) wakazipata. Ni kwa sh. 10,000/=. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mmea wa...
mwanzoni mwa wiki hii nilisikiliza kipindi cha pb cha cloudsfm, kuhusu matangazo ya kuahamasisha maisha na vvu. Nikamsikia uwezo mmoja anasema yeye ni mwalimu anaishi na vvu takriban miaka...
Hapa jamvini napaamini sana ndipo pa kupata miongozo yote, ndipo pa kuponea
Nina ndugu yangu wa karibu sana, mjamzito ana upungufu wa damu (8.3) na yuko mwezi wa nane sasa, hivyo bado wiki nne tu...
Nina mwaka mmoja ninatumia masterbation{punyeto} kwa maana nilikuwa mbali kidogo na mpenzi wangu na sikutaka kumsaliti, iila nimejifikilia sio jambo jema hata kidogo. Ingawa kitaalamu wanatuambia...
Hapa jamvini napaamini sana ndipo pa kupata miongozo yote, ndipo pa kuponea.
Nina ndugu yangu wa karibu sana, mjamzito ana upungufu wa damu (8.3) na yuko mwezi wa nane sasa, hivyo bado wiki nne...
Naandika uzi huu nikizingatia kuwa kuna matukio mengi ya ubakaji yanayotokea katika jamii yetu na mengi kati yake hayaripotiwi popote. Kuna sababu nyingi zinazopelekea hali hii kubwa ikiwa ni...
Habari wana jf! Nina mdogo wangu yaani zikifika zile tarehe zao huwa anatusumbuasana, yaani sindano za pain killer , hadi drip za pain killler na sometime kulazwa,ila zikipita anapona kabsaa. Je...
Ni hivi karibuni nimegundua nina tabia sugu ya kutafuna kucha za mikoni kiasi kwamba sikumbuki ni lini nilikata kucha kwa kutumia wembe au nail cutter, je hali hii inatokana na nini na ikiwa...
JAMANI WANA JF,
Mimi ni baba wa watoto wawili, na huyo wa pili sasa ana miezi 11. Tatizo langu kubwa ni kuwa huyo mdogo ana tatizo ambalo wataalam wanasema ni Henia. Kwenye sehemu zake za siri...
Huu ni ugonjwa wa zinaa ulio hatari zaidi kwa binadamu. Unasababishwa na kirusi kinacho sambazwa kwa urahisi wakati unapofanya mapenzi. Pia huambukiza watoto ambao hawajazaliwa wakati wa kuzaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.