Assallamu Aleikum!
Nimekuwa na bwanangu miaka 13 bila shida na watoto wawili.
Mara si mara, tulihamia mombasa na bwanangu kapata msichana wa kikamba.
Nikapata mimba na huyo msichana kasema...
Imetafsiriwa na Zawadi Machibya
Mamilioni ya vyandarua vimesambazwa kudhibiti malaria Afrika
Wote tunapenda ripoti za kitabibu zenye mafanikio makubwa ya kisayansi lakini ukweli ni kwamba...
Jamaa ana matatizo ya akili. Juzi tar. 24 akawa amechanganyikiwa na akawa mkorofi vibaya sana. Basi alivopelekwa hospital kwa nguvu akapewa dawa za usingizi, kwa kitaalamu 'sedatives'. Bahati...
Wanajamvi kuna hii ki2 naomba 2shee kama inaukweli au laa.
Yasemekana kuwa uvaaji wa nguo za ndan za kubana sana kwa wanaume husababisha matatizo ya nguv za kiume pamoja na tatizo la...
Natazama Tv ya Kenya K24 kuna kipindi sasa hivi wanaeleza kuwa, watu ambao wanatumia vileo na wana umri chini ya miaka 21 wanakabiliwa na tatizo na kutokukua kwa ubongo wao na kwa sababu hivyo...
Katika sector ya Afya mbali na kula vizuri, tunashauriwa pia kuipa mazoezi miili yetu.
Sasa wadau ningependa kuuliza je ni mazoezi gani inashauriwa tufanye, wakati gani na faida zake ktk miili...
Kila nikijamba lazima harufu mbaya itoke, hii inasababishwa na nini, na vijambo vyote huwa ni usiku nikiwa nimelalaa au karibia kulala
, kasheshe ni pale nipo na mchumba wangu yaani ntamjambia...
Baada ya kufanya reseach kwa muda usiopungua miaka kumi hawa jamaa wa canada wamepewa rukhsa kutoa hii chanjo kwa binadam.
Jamani mnaokwenda Loliondo kwa kuwa mlikuwa hamna tumaini sasa lipo...
Jaman madaktar habar.Nimeruka dozi 1 ya quinene .je kuna madhara gani?ina maana nianze upya?nipo siku ya tatu na nimesahau kumeza leo mchana.MSAADA TAFADHALI
Naombeni msaada kuna kipindi huwa nasikia maumivu makali chini ya miguu yangu hasa upande wa visigino kama naungua na moto vile..shida ni nini?nilikwenda hospital wakaniambia labda sababu ya...
Habari jf
Mimi ni kijana umri miaka 25. Niliwahi kua na mpenzi wa kike kwa miaka 6 mpaka July mwaka huu. Nilitokea kumpenda sana, nikamjali kwa kila kitu. Mambo mengi yalikua yakitokea...
Maoni ya katuni
Madaktari Bingwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wameeleza kilio chao kwa serikali cha kufanya kazi katika mazingira magumu na kutaka...
HIV/AIDS vaccine developed at Western proceeding to human clinical trials - media conference
TORONTO - Canadian researchers have been given the green light for human testing of an experimental...
Mashine tatu za kusafisha damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam, zimeharibika.
Hata hivyo, uongozi wa hospitali hiyo umewataka wananchi wenye matatizo ya kibofu...
heshima kwenu ndugu zangu!!!
namchumba wangu toka pande za arusha, nampenda sana, na kama mungu akipenda very soon atakua mama watoto, ila anameno ya arusha(yameungua). sio kwamba yananiboa ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.