kuna jamaa yangu anatokewa sana na vijipu usoni,ameenda sana hospitali,kapima damu,wakamwambia hana shida.
Je kuna dawa atakazomeza ili kumwondole tatizo ilo linaromrudia mara kwa mara?
Nawasilisha!
Mostly people take soda as a soft drink. One of the most famous drinks among people of various age groups. People are just addicted towards soda; they don't give any attention about its side...
Kila ninapoamka na hangover nikinywa maziwa fresh naarisha sana! nilishaambiwa kuwa maziwa huwa yanatoa sumu mwilini na vilevile naelewa ya kuwa pombe (alcohol) ni sumu! je ni kweli kuwa kuarisha...
heshima yenu wakuu! nna swali la ufahamu juu ya maambukizo ya ukimwi ambalo ni: Je vifaa vya kunyolea saruni vinaambukiza ukimwi? nimekuwa, nimeona vinyozi wanaosha machine za kunyolea na vitana...
hi JF-MMU. hivi binti/mwanamke anaweza akaduu kwa siku ya kwanza(bikiriwa) na asitoe damu?..........nisaidieni maana kna binti mmoja aliniambia ni bikira ila tulivyo duu nae hata sikuona damu.
Wadau naomba kujuzwa juu ya hili.
Mim nikijana nina mda kama 5yrs cjawahi kufanya mapenzi kbs na sababu kubwa iliyosabisha yote hayo ni ufanyaji wa mazoez ya karet niliyokuwa nayafanya.Mwalim...
Ayurveda, the traditional Indian medical system uses different ways of administering drug into the human body. Nasya is one of the important therapies in Ayurveda and in this method the drug is...
Siku moja kuna rafiki yangu na mkewe walimpeleka mtoto wao kumuona Specialist wakaambiwa walipie 22,000.00 ili kupata huduma na kwa kuwa shida yao ilikuwa ni kumuona Specialist basi wakalipa...
Israeli medical researchers say they have developed a new technique for blasting cancer tumours from the inside out which reduces the risk of the disease returning after treatment.
Tel Aviv...
nasumbuliwa kweli na gego lililotoboka sehem ndogo tu ila linamwaga maumivu balaa. Sitaki kuling'oa bali nataka nipate dawa ya kulitibu jinsi lilivyo. Msaada plz
kadiri siku zinavyo enda mbele ndivyo magonjwa yanavyo ongezeka.
Mtaani kwenu kuna kijana mmoja amepofuka macho, eti alikumbwa na presha ya macho.
Ndugu waungwana naomba mnijulishe, presha ya...
Hope all is well with you brodaas & sisteeeeeeeezz.
Jamani nisaidien Jf's doctors mtu anayejua diet ya kufanya ili niweze kupunguza almost 6kg anisaidie..au ushauri nifanyeje hizi excess kg...
Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia...
Nimekuwa na matatizo ya miguu kuuma, hali hii hunituokea pale ninapokuwa nimekaa kwa muda mrefu ama asubuhi ninapoamka. Ninapokuwa nimekaa muda mrefu, basi itauma pale ninaponyanyuka hadi...
Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.