Nasikia maumivu wakati wa kukoja nimeenda kupima majibu ndo hayo: numerous pus cell urine :seem no ova no parasite. Je? Hilo gonjwa gani? Na nini dawa yake.
Wadau, nimeona si vibaya ku - share na nyinyi kuhusu umuhimu wa samaki kwa afya zetu........7 Life-Enhancing Reasons to Eat Fish - Diet and Nutrition Center - Everyday Health
Naomba mnisaidie kunielewesha,kuna baadhi ya walevi unakuta amevimbiwa mashavu yaani unaona kama kuna dalili
flani ambayo siyo ya kawaida,je hiyo inatokana na nini ??
Wataalamu/wazoefu naombeni msaada wenu.
Kijana wangu wa miaka mitano aliugua Malaria akiwa na mwezi mmoja, na kwa bahati mbaya hatukuicontrol vizuri (Wazazi & madaktari) hivyo ikawa severe...
Doc!
Please what ı want to revıal to you ıs a true story!
Dont even hesıtate replyıng me because ı am ın a monent that have no return!
I have a gırl whom...
Jamani naomba mnieleweshe kuna rafiki yangu ameniadisia kuwa yeye anaposex huwa hatoi yale majimaji ambayo mwanamke anatakiwa kutoka wakati wa kufanya mapenzi kwahiyo yeye mpz wake huwa antumia...
Dawa za mitishamba ya kichina zinafanya kazi kubwa katika utaratibu mpya wa matibabu ya ushirikiano vijijini
Hivi karibuni naibu waziri wa afya Bw. She Jing kwenye mkutano wa utekelezaji wa...
Wana JF,
Naomba kuuliza. Je, dawa za kuongeza uwezo wa kufanya mapenzi, maarufu kama Viagra, zina madhara? Maana inasemekana (not confirmed), the late General Sanni Abacha zilimtoa roho!
Zipo za...
Baada ya kufanya resechi wiki 2 mfululizo mimi na ex wangu bila waifu kujua, tumegundua kumbe hata maharage pia yana faida (hii ni habari njema kwa walalahoi), nitazitaja faida kwa kiswahili...
Rafiki yangu kapata problem ya kuziba kwa mirija ya uzazi yaani Fallopia Tubes, ni kwamba kajifungua mara mbili na uzazi wa pili mtoto alifariki akiwa na wiki moja, tatizo lililopo ni kuwa huu ni...
Kuhusu ugonjwa wa kuhara
Majira ya joto ni kipindi ambacho vijidudu mbalimbali vya tumboni vinapozaliwa, kwa hiyo majira hayo pia ni kipindi ambacho watu wengi wanapata ugonjwa wa kuhara...
Wadau ni tkribani miezi miwili sasa nackia maumivu katikati ya kifua changu yaanu sehemu ambapo mbavu za pande mbili zinapokutana cjui ni nini hasa nahitajj ufafanuzi please?
Jinsi Ya Kujichunguza Dhidi Ya Saratani Ya Matiti Na Korodani
Video hizi hazijapachikwa hapa kwa kuwa zina zuio la umri. Kila atakayetaka kuziona hana budi kujisajili na umri wake kuonesha kuwa...
Wanajf naomba kujulishwa khs haja kubwa hv kuna umuhimu wa mtu kukamilisha ratiba hii kila siku na je kuna tatizo lolote endapo kutokana na mtu kula mlo kidogo na kutoenda haja hata siku mbili...
Utaratibu uliozoeleka na watu wengi, hata kwenye hoteli za kitalii, ni kuanza kula chakula cha kawaida na mwisho kula matunda (desert). Huo siyo utaratibu sahihi, leo nitakukumbusha na kukujuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.