Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

salaam wakuu,eti naskia kuna mashine moja ya wakorea ambayo inauwezo wa kutambua na kuponya magonjwa kama kisukari,presha na misuli,unachotakiwa kufanya ni kulala kwa tumbo na kwa mgongo kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiwa naanza ujasiriamali ktk ufugaji wa kuku nimepetwa na tatizo la ugonjwa unaoitwa bronchitis(mafua) kwa mujibu wa wauza madawa ya kuku, nimejaribu kuwapatia hiyo dawa lakini vifo vinaendelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A man came in, dragged by his daughter because, she explained, he had been steadily losing weight and was covered in big lumps. The lumps had been growing for 2 years, maybe more, she said. I had...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimepata kusikia sana kitendo cha kutoa mimba tokea nasoma primary hadi chuo'pia nafahamu kuwa kitendo hicho ni kosa lajinai,kwanini , naje ? kutoa KWA MAKUSUDI mimba mara kwa mara kuna madhara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
With the profile of HIV-AIDS undergoing transformation from a life-threatening emergency to a manageable chronic infection, the World Health Organisation (WHO) urged South-East Asian countries to...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshime kwenu wakuu na swali hivi hapa Dar sehem gani kuna clab ya Yoga na pili hivi kuna faida ngapi ukiwa unafanya yoga kifupi nimeona kipindi kwenye TV capital inimeona katika mazoezi yanayo...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Wadau, tukiwa tuadhimisha siku(wiki) ya UKIMWI duniani, ni bora wale wanaoendelea kutojilinda wakumbuke kwa kuangalia hii website; STD Pictures: Symptoms of Genital Herpes. Genital Warts & AIDS
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mimi naomba nielezwe athari za masta beshen
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna ndugu yangu anasumbuliwa na vipele ambavyo vinajitokeza mikononi,na mgongoni,alipima vdrl ikawa non-reactive.wakasema itakuwa ni aleji! Wakamwandikia vidonge viitwavyo Pledinsolone,kweli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf,naomba naomba msaada. ni hv, maskan aliletwa housgal na mm kwa tamaa zangu nikaanza kumega. Mwanzon nilikuwa natumia kondom badae nkawa ctumii si unajua tena kwa housgal unamega...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
hivi ni kweli jamani hizi laptop zinasababisha upungufu wa nguvu za kiume? naomba mniweke sawa kwenye hili jamani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Music alleviates depression, reports a study in the journal Complementary Therapies. Researchers at the National University of Singapore reviewed 17 studies that examined the effects of music on...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi, Jamani leo nimekutwa na mstuko kuna dada nimekutana naye kwaajili ya kuchukua interview yake...u see there has to be a warm up session so that the candidate feels comfortable during the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"Apple" kwa kiswahili nafikiri linaitwa tunda damu, Tunda hili liko la aina tofauti yako ya kijani yako mekundu na haya mekundu ndio yaliyo mazuri zaidi na pia yanasemakana matunda mazuri zaidi ni...
2 Reactions
12 Replies
29K Views
wakuu naomba msaada ni tatizo gani linasababisha kuota vinyama vidogovidogo sehem za siri esp kwa wanaume nawakilisha
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimekutana na hii wikipedia nikawa najiuliza je Ni watanzanai wanagpi wanaweza au tunaweza kuwa na tatizo hili Münchausen syndrome is a psychiatric factitious disorder wherein those affected...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji sana majibu yenu "why mosquitoes does not transmit HIV" thank you!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbio za mwenge zimekuwa zikikusanya watu katika miji na vijiji mbali mbali vya Tanzania. Wakati tuendelea kujiuliza umuhimu wa kukimbiza mwenge kwenye karne hii ni vyema pia tukatafakari ni kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAKULA GANI UNACHOTAKIWA UKILE WAKATI UNAPOUMWA? NA ILI HICHO CHAKULA UNACHOKULA KIKUFANYE UWE NA HALI NZURI YA KIAFYA. You might have wondered what food you should eat when you feel sick and...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Kuna hii knowledge ya kwamba ukiwa na kikohozi ama kikohozi na mafua vinasababishwa na mtu hasa kwa watoto kutumia vinywaji ama vimiminika baridi! Na ikiwa wa mtoto anakohoa asitumie...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom