Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Msaada tu jamani. Naomba msinishambulie sana. Kuna rafiki yangu nataka nimsaidie ili kumwepusha na madhara ya kutumia hiyo kitu haramu. Yeye ni mwanaume. Anataka ampake partner wake.
0 Reactions
34 Replies
16K Views
BAADHI YA WANAWAKE HUHISI MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU WENGINE KUTOHISI RAHA KABISA AU KUTOTOKA UTE AU KUCHELEWA KUTOKA UTE AU KUTOFIKA KILELENI WOTE WATATIBIWA KWA DAWA HII a)maziwa ya...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Ndugu zangu kuna mtu anafahamu wapi zinapatikana kwa hapa Tanzania na bei zake?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
When marijuana researchers refer to sexual difficulties caused by marijuana use in women, they are most likely to be referring to failures of ovulation, reduced likelihood of pregnancy even if a...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
leo asubuhi nimesikia toka redioni uchambuzi wa magazeti na kusikia habari moja ya ajabu kiasi. Nadhani inatoka amerika ya kusini. Bahati mbaya sikusikia ni gazeti gani. Kwamba wanaume wanakuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Familia yangu hususani mwanangu wa kike amekuwa akisumbuliwa na muwasho wa vipere vidogo vidogo ambavyo sometimes hutoa maji kidogo pindi vikikunwa sn, nimeshamfanyia full blood...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Inashangaza sana kila baada ya cku 2 au 3 inatoka thread ya wanaume wanalalamika kuhusu kupungukiwa na nguvu za kiume. Kwa mtazamo wangu wa haraka haraka inaonekana more than 70% of men are now...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamini habari za asubuhi, Naomba kwa yule ajuaye kuhusu hili tatizo la mama mkwe wangu nikono inamuuma inakuwa na uchungu kama vile kaumwa na inge au mdudu mwenye sumu halafu vilevile huwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wenu, ninae mpenzi wangu msichana tangu nimeanza kuwa nae kama miaka miwili sasa amekuwa akilalamika kwamba hapati raha ya mapenzi kabisa, sana sana anasikia maumivu tu. Kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni kawaida kwa mwanamke kuwa na mzunguko wa hedhi unaobadilika?? kuna wakati siku 26 na miezi mingine 28! na kama ni hivyo je siku zake za kupata mimba ni zipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
msaada tutani, wengine wanasema ukinywa pombe kali unakuwa strongly erect, lakn madaktar wanasema pombe inaua nguvu za kiume? Lipi la ukweli
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Follow these guidelines Use a new condom for every act of intercourse. If the penis is uncircumcised, pull the foreskin back before putting the condom on. Put the condom on after the penis is...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndiyo hivyo wazee, Kuna jamaa yangu ameniuliza nimeshindwa kumjibu. Ana korodani ndogo sana kwa size ingawa ameoa na ana watoto wawili. Tunapokwenda beach kuwa anajisikia hata aibu kubaki na nguo...
0 Reactions
10 Replies
14K Views
A survey shows that doctors are the most admired and most trusted marriage partners. By contrast, actors and musicians, along with journalists and advertisers, were among professionals that people...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa kuna hii huduma ya kutoa uchafu mwilini nadhani imeanzishwa na watu wa jamii ya kichina lakini sasa naona kuna wakenya na baadhi ya waTZ nao wanatoa hiyo huduma. Kuna vitu wanakufunga...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 49, tangu mwaka huu mwezi wa sita amekuwa na tatizo la kutosimamisha uume wake, yaani nashindwa hata kuelewa kwa nini, au ni sababu ya umri? madaktari...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Kuna mtu ana tatizo la vipele vingi kama chunusi msaada wenu wajf
0 Reactions
8 Replies
4K Views
jamani kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa why
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nina umri wa miaka 35, ni zaidi ya miaka 7 sasa nasumbuliwa na ugonjwa wa kupiga chafya. Yani napiga cha mpaka nakosa amani. Naweza kupiga mara 10 mfululizo bila kupumzika, haijalishi ni ucku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalamu wa tiba wameshauri kuwa watu ambao afya yao inakabiliwa na uwezekano wa kukumbwa na saratani ya kibofu, wapewe dozi ya aspirini. Jarida linalochapisha habari za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom