Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

A VERY IMPORTANT NOTICE Bottled water in your car is very dangerous! On the Ellen show, Sheryl Crow said that this is what caused her breast cancer. It has...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mwalimu wangu (umri wake, sijui lakini ni mtu mzima kwenye miaka 50) ambaye amekuwa kama rafiki na kama mama yangu! ana tatizo linamsumbua la miguu kuuma. Miguu yenyewe inavyomuuma ni...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
ndg wa-jf polen kwa miangaiko yakila cku! naombeni msaada maana najua humu wote ni interllectuals, mm nkila chakula chenye viungo km pilau,wali au ugali roast huwa tumbo linauma sana!! kipndi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimegundua kuwa baadhi ya wafanyakazi (Pharmacists?) ktk Pharmacies za madawa ya binadamu(private Pharmacies), hawana taaluma yoyote ya madawa ya binadamu! Baadhi yao wamekaririshwa tu na wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kansa/saratani ya matiti Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine. Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Prevention and Natural Treatment for; Diabets, Pressure, cancer, Malaria etc. Your Health is Undoubtedly a valuable asset for living a prosperous life,so you must do whatever it takes to take care...
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Hellow jf dr's mtoto wa dada yangu kapatwa na huu ugonjwa wa kisukari ki-ukweli kabisa sikuwa kusikia kuhusu huu ugonjwa kuwapata watoto wadogo.hapa napata hofu kwa kuwa niliwahi kusikia huo...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Hi wana JF,mimi ni mgeni hapa naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa wa hili:dada yangu ana tatizo la kuumwa na tumbo usiku.hivi juzi tumechek tukagundua ana ujauzito,so ni wa mwez 1, mchana shwari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Unadhani kazi yako ndo inalipa sana, basi angalia link hii ujitambue kifikra 12 Most Overrated Jobs | Power Your Future - Yahoo! Finance
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nina miaka 25,nimeanza ku sex nikiwa na miaka 18,ambapo katika miaka hiyo nilikuwa na uwezo wa kukaa kifuan kwa mwanamke mpk 45minutes huku nakula bweche kavu kavu,bila kupiga bao,tena kama...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Nini tiba ya miguu kuvimba kuanzia kwenye vifundo(joint) hadi vidoleni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hello any body out there who can share wt me coz i cant sleep at all n out of mood at all. Tmrow i hv 2 wkup very early than u can think, wht shlf i do? I hv less than 4 hrs to stay on the bed.
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa ni namna gani naweza kudumisha usafi katika sehemu nyeti kiasi cha kupata maksi za juu. Je kuna madawa yanayotumika kudhibiti fungus na mwonekano usiovutia bila kuleta madhara???
4 Reactions
118 Replies
40K Views
Nimepitapita kwa mtandao wa yahoo nimekutana na hii kitu. Kumbe matatizo ya meni yaweza kuwa ni dalili ya kansa. Hebu angalia na jisomee mwenyewe uone ukweli wote 5 Major Health Threats That Your...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
majibu yangu yanasema detection of antibodies to hiv -1&amp;2 in human serum<br> technique- 1 sd bioline<br> 2 HIV 1 AND 2...
3 Reactions
33 Replies
31K Views
Hiyo ni chuchu baada ya kudhurika it is serious jamani someni hii article hapa chini. After anthropologist Susan McKinley came back home from an expedition in South America , she noticed a very...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
of kozz bia inasemekana zina kiasi kikubwa cha cabohydrate ambayo kimsingi si nzuri kiafya.... je wadau.... ni bia ipi hapa tz ina calories kidogo...???? Nawasilisha.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
wadau mimi nina umri wa miaka 35 baada ya kupata matatizo ktk kufaidi tendo la ndoa nimeamua kutahiriwa(kukata govi), NAOMBA UFAFANUZI WENU WANA JF ITANICHUKUA MDA GANI KWA BUNDUKI YANGU(UUME)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa JF Niko kwenye hatua za mwisho kukamilisha kusudio langu la kucha pombe. Nimekuwa nikinywa pombe kwa karibu robo tatu ya umri wangu. Nilifikia hatua ya kunywa safari kama 30 hivi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
8 Foods That Lower Blood Pressure Plant-based diets and diets high in fruits and vegetables are strongly associated with lower blood pressure -- so much so that the National Institutes of...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom