Wakuu habari zenu.
Kuna vyuo(vya afya) vina utaratibu wa kuanza kutoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wake katika speciality husika mfano GINECOLOGY,NEUROSURGERY n.k wakati wakisoma first...
jamani wadau nimeoa sasa ni wiki ya pili, mke wangu toka juzi analalamika kuwa anahisi maumivu makali chini ya kinena wakati wa kukojoa, mwanzo nilimwamwambia maumivu yataisha kwani pengine...
Shocking!
PLEASE SHARE THIS NOTE TO ALL YOUR FRIENDS!!!!!
I have always wondered where those guys who sell the tu-small bananas on wheelbarrows as seen at road roundabouts source them in
such...
Wadau naomba mnijuze hospital nzuri ambayo naweza pata matibabu ya uhakika. Ni zaidi ya mwaka sasa nasumbulia na malaria na sijawahi pata nafuu hata siku moja. Kwa sasa nimepata offer ya kutafuta...
Ukienda hospital kutibiwa kama Daktari atakupa Flaggily huwa anasisitiza sana usinywe pombe hapa kunamadhala gani kibaologia na je ni hatari na kama umekunywa dawa hizo halafu ukajisahau ukanywa...
Mwezi uliopita tulienda hospitali ya mimi na mke wng kutokana na tatizo la kutopata mtoto mana sasa takilibani miaka 3.baada ya vipimo ndipo yeye alipo kundulika kuwa anamatatizo ya milija ya...
NILIKUWA NA TATIZO LA KUCHOMOKA MKONA .
Nimefenyiwa oppr ya shoulder legaments bado sijatoa nyuzi hadi tarehe 14/11/11 DR, alisema legaments zilikuwa zimelegea
NAOMBA KUFAHAMU JE SITAPATA TENE...
wakuu nisaidieni my wife anamaziwa machache hivyo chari hashibi ipasavyo je afanye nini ili maziwa yaongezeke mtoto ndo kwanza anamwezi na wk tatu na maziwa ya kopo siyataki.
One mosquito coil equals 100 cigarettes One mosquito coil equals 100 cigarettes (Thinkstock photos/Getty Images)Smoke emitted from one mosquito repellant coil is equivalent to those of 100...
Nimekutana na link hii hapa........ What's In a Cigarette, 599 Ingredients in a Cigarette
Nikaona wana JF niwatahadhalishe wote wanaojinyoga bila kujua na serikali yetu bado inaendelea kuchukua...
Inawezekana katika maisha yako hujawahi kula mboga iliyowekwa kiungo kinachoitwa bizari, kama umewahi, inawezekana pia hujawahi kujua faida zake mwilini.
Bizari (Turmeric) ni kiungo cha mboga...
Waungwana naomba msaada wenu ili niweze kupata mawasiliano na taasisi inayofanya tafiti juu ya "BRAIN & HUMAN MIND". Niko interest sana na hayo mambo husika.
Binafsi nimesoma Electronics &...
​CHAMOS, H.J
KULA vyakula mchanganyiko ni moja kati ya kanuni muhimu za lishe bora. Vyakula vya nyuzinyuzi ni mchanganyiko wa vyakula mbalimbali vya wanga ambavyo haviyeyushi kama vyakula...
sijawahi kuwa na matatizo ya moyo kabla, lakin sa hv nina kama wiki kuna muda moyo wangu unakwenda mbio, nakuwa kama napumua kwa kasi hvi yaana kama nataka kufaint kabisa. Inatokana na nini?
Nilishawahi sikia kuwa kama mtoto wako atakuwa anasuasua kuongezeka urefu katika umri wa kubalehe unaweza ukamchoma sindano ya kustimulate pituitary gland ili izalishe hormne kwa ajili ya...
nasikia maumivu sana moyoni mwangu na ni makali sana cwez kujizuia nahisi kama moyo unavuja damu ndani kwa maumivu niliyonayo...........hali hii hunitokea kila nikipata kitu chochote cha kunishtua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.