20 Pain Cures You Can Find in Your Kitchen
Make muscle pain a memory with ginger
When Danish researchers asked achy people to jazz up their diets with ginger, it eased muscle and joint pain...
Kuna mtu ameniambia kwamba unaweza kuzuia mimba kwa njia hii badala condom
kwamba siku mbili kabla ya ku do mwanaume anaweza akazitoa mbegu (kama atapiga puny*to sawa) halafu ndo aje ku do na...
ni kipindi kirefu toka nione hili tatizo sisikii maumivu wala usumbufu wowote ila naomba niulize ni hali ya kawaida ua? na kama pana tiba naomba wataalamu mnijuze
hello jf..
nina ndugu yangu aged 26 hivi amekua na tatizo la kuwashwa miguu kwa muda wa wiki 1 sasa..
ninaishi nae ivyo imekua rahisi kumgundua anavyojikuna mara nyingi hasa inapofika jioni...
Jamani mimi nina tatizo la primary goat,please naomba ushauri wa kumaliza tatizo hili,yani sasa hivi sina amani kabisa,kwani nasikia ugonjwa huu husaBABISHA matatizo kwenye kibofu pia!:shock::shock:
Tafadhali wanaJF kama kuna mtu ana-experience tatizo kama la kwangu na amelitatuaje. Binti yangu ana miaka 13 sasa na anakojoa kitandani almost everyday. Hili tatizo sasa linamuathiri kisaikolojia...
Wakuu naomba msaada kwa mtu anayefahamu dawa ya meno yanayouma napata tabu sana,nimekwisha ng'oa kama matatu hv sasa sitamani kutoa mengine...naomba msaada hasa dawa za asili....
Grape Seed Extract Kills Cancer Cells In Lab
Retweet Featured Article
Main Category: Lymphoma / Leukemia / Myeloma
Also Included In: Nutrition / Diet; Blood / Hematology; Cancer / Oncology...
Wadau wa JF Doctor naomba mnielimishe kuhusu hili.
Siku ambazo nimekunywa pombe nyingi, kesho yake nikiamka mwili unakuwa hauna amani mpk nitapike nyongo, ndiyo kidogo mwili nauskia unaanza kuwa...
KUNA DOCTOR BINGWA AMEAMUA KUTIBIA NYUMBANI KWAKE ANATIBU BUSHA NA LINAONDOKA KABISA BILA YA KUCHANA .KUNA SINDANO NA DAWA MAALUM SIKU TANO UNARUDI NYUMBANI KWAKO UMEVAA TAITI AMA BUKTA UKIJIDAI...
wana JF naombeni msaada mimi ni mwanaume umri 22 huwa kila ninapo kutana kimwili na GF wangu huwa nawahi sana kufika mshindo jamani nina tatizo gani?? mwenye ufahamu jamani elimisha mimi plz au...
Kwa mujibu wa madaktari wengi , uwezo wa kujamiiana kwa wanaume ni kipimo cha afya yake pia. Kuna uhusiano wa karibu sana kati ya afya ya mwanaume na uwezo wake wa kujamiiana. Hii ni taarifa rasmi...
wana jf nisaidieni imekaaje hiii??
Nime do.. na mwanamke ila hakukutokea joto katika friction yaani nshu yakeilikuwa ni ya baridi kabisa.............je anatatizo na ni tatizo gani hilo?
Hivi madaktari hawa wa hospitali za binafsi kwa ushauri wao wa vipimo vingi licha ya kuonyesha dalili zisizoendana ni sahihi kweli mfano una dalili za malaria unashauriwa kucheki malaria, kisukari...
What You Need To Know
SADD refers to Sexual Attention Deficit Disorder.
Men used to the instant gratification of internet porn can struggle to maintain an erection.
Suffer from SADD? Take a...
Sina uhakika kama wote au baadhi huwatokea haya matatizo hususani kwa wajawazito.
kuvimba miguu kwa kinamama wajawazito ni dalili ya nini! chanzo chake na tiba yake ni nini hasa? Pia baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.