Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

CONCERNS are mounting among anti-AIDS activists and groups of people living with HIV and AID that, Babu Ambikile Mwasapile, a senior citizen who last year dominated media headlines for his...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
1. Which of birth control method has the lowest failure rate when used consistently and correctly? Depo-Provera Injection, commonly called "the shot" is an injection of a synthetic hormone that...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
vp mambo naomba ushirikiano
0 Reactions
2 Replies
1K Views
VIdonge vya uzazi au pills pamoja na kuzuia kuzaa kumbe navyo vinamwondolea hamu anayevimeza hamu ya kupeana penzi.......haya madawa badala ya kuimarisha mahusiano ndiyo kwanza yanaleta misuguano...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hili eneo ninaloishi liko mbele sana kwa ku 'export' vijana wasichana kwa wavulana kwenda kufanyakazi za ndani,mara nyingi Dar,Arusha na Moshi. Kinachonishangaza baada ya muda fulani vijana hao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajf naomba kuuliza hivi eti ni madhara gani anakumbana nayo mwanaume mwenye korodani moja na kama yapo madhara nini hasa tiba yake
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Jaman ndugu yang ameathirika, naomba ushauri ili nisiambukizwe jins ya kuish nae na pia vyakula gan vina mfaa.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Ninamaumivu ya mgongo na kiuno mda mrefu,kuna kipindi inapotea,ila inarudi yenyewe,ila mazoez nafanya sana(nacheza mpira)ila nina kilo 84,maumivu toka niko sekondar
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Hili ni swali nimekuwa nikijiuliza, kwa nini huu ugonjwa umezidi mpaka hata watoto wadogo wanaupata, ni nini hasa kinasababisha, na ni njia gani ya kuuepuka? Maana kasi yake siyo nzuri kabisa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hospitali ya Mkoa wa Singida ipo hoi hakuna hata panadol za kutuliza maumivu, dawa za kawaida kabisa katika hospitali, vituo vya afya, na Zahanati. Kuna Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu amefika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
WanaJF, utaratibu wa kupata huduma ya afya kwa wenye bima ya NHIF, sijui bima zingine inakuwaje, huwa huduma na dawa zote ulizopewa katika hospitali fulani zianandikwa na doctor kwenye fomu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
.Ni dawa ya meno nzuri itokanayo na Aloe Vera na Bee Propolis(Antiobiotic Asilia) .Inaponyesha kutoka damu wakati wa kupiga mswaki, pia inaponyesha vidonda mdomoni na pia unaweza ukaipaka kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii naomba mwenye ufahamu juu ya hili mtoto kuzaliwa kitovu kikubwa inasababishwa na nini?je kuna utaalamu wa kuweza kkufanya kikapungua natumaini mtanisaidia.
0 Reactions
9 Replies
49K Views
Jamani naombeni ushauri wenu.., ningependa nipunguze uzito wangu wa mwili uendane na miaka na urefu wangu.JE NIFANYEJE..? Nina miaka 24, urefu ni 170 cm na kwa sasa nina kilo 84. Nisaidieni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Jumamosi hii Holliday inn kutakua na semina kuhusu kupunguza au kuongeza uzito wako na pia ni jinsi gani unaweza punguza kiitambi na pia nyama za pembeni tumboni bila kutumia kemikali yeyote...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Muda mrefu sasa wameibuka watu mbalimbali wanaojitangaza kutibu ‘UKIMWI’ japo, tiba hizi zimekuwa hazionyeshi mafanikio yoyote na badala yake wagonjwa wanaoacha ARV na kukimbilia tiba hizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
heshima kwenu wadau, jamani, kuna hawa wajasiliamali wa kutoa huduma za ukunga wa kienyeji (waganga wa jadi) ambao wamefanya tabia siku hizi kwa kufanya marketing ya biashara zao kwa kubandika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
i would like to know whether pork is white or red meat,,,,, your help please....
0 Reactions
0 Replies
854 Views
wakuu ukweli mtoto wangu mwenye umri wa miaka 8 ana tatizo kubwa la kuto kula na hii inatusumbua sana sisi wazazi wake wakuu naomba ushauri ama mwenye kujua tiba atujuze.nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Imefikia wakati wa serikali kuingilia swala la watu kuuziwa dawa fake kutoka China na India. Kwa kuwa dawa za malarial ni vingonge na ni vya Generic drug TPRI inaweka kuomba formular ya dawa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…