Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya duniani unaonesha kuwa zaidi ya asilimia themanini ya wanawake...
Katika hali ya kuuzunisha wabunge wetu wapendwa wamekuwa wakiugua hivi karibuni na katika k uonyesha mfano wa kujali hospitali yetu teule ya muhimbili wote wamepita kwa private wakaishia kuja...
Habari zenu wanaJF hasa upande huu wa JF Daktari?
Dada yangu mwenye umri wa miaka 36 anaumwa ugonjwa ambao unamdhoofisha kila kukicha na ugonjwa huo
una dalili kuu ya kutoa sauti kubwa...
Utafiti uliofanywa huko UK umegundua kuwa watu wengi tunazingatia kunawa mikono baada ya kutoka chooni na kusahau kuwa hata simu zetu za mkononi ni chafu na zina bakteria. Soma hapa POPOTE TZ
Wana JF Rafiki yangu mpenzi amekwama, ana huzuni kubwa sana ya yaliyompata. Naomba ushauri wenu. Sitaweza kueleza kila kitu. lakini ni long story.
Kifupi. Ana jamaa ambaye ni mume wa mtu...
Nashukuru sana kwa ushauri wenu juu ya tatizo la macho. Leo swali langu ni hili: Je ni kweli kwamba Hbp inaweza kusababisha mtu akapoteza uwezo wa kuona(vission)? Je, kama jibu ni ndiyo, nini cha...
Matukio ya wanafunzi kupatwa na magonjwa yasiyofahamika ikiwemo kuchekacheka, kushindwa kutembea vizuri na kuanguka hovyo yanaonekana kushamili hapa nchini. Leo vyombo vya habari vimeripoti kizuka...
Wadau naomba mnisaidie nina tatizo moja. Tatizo lenyewe ni kutokwa na damu puani. Jana nilitembea sana juani katika kutafuta riziki na niliporudi nyumbani nikafikia kufua na kusafisha nyumba na...
Wadau habari zenu?
Naomba ushauri wenu.
Mimi nafanya kazi katika kampuni fulani kama Medical Officer.
Nimekuta health facility haijasajiliwa, nimefuatilia ili isajiliwe na mchakato ulipofika ni...
Iran Produces Anti-Cancer Drug from Reptile Venoms
TEHRAN (FNA)- Iranian scientists managed to produce a new type of anti-cancer drug using the venoms of reptiles like snakes and scorpions...
Wakuu heshima mbele,
Nimekuwa nasumbuliwa kwa takriban muda wa wiki 2 hivi sasa na tatizo la maumivu kwene hip muscle. Mwanzoni ilianza kama maumivu ya hip muscle na baadaye yameshuka mpaka kwene...
Study Produces Good Results for Patients with Alzheimer Disease
TEHRAN (FNA)- Although it is a small study and more clinical trials are needed, treatment with the medication gantenerumab appeared...
Naomba kuuliza kama kuna hospitali ambayo huwa wanafanya AI Tanzania... Najua kuna hospitali zinaaminika kwa shughuli hizo Nairobi, lakini kwa mtu kutokea Tanzania ni gharama kubwa sana.
Naomba...
Kwa yeyote anayeelewa. Mwezi uliopita nimeingia kwenye siku zangu tarehe 29, na mwezi huu nimeingia tarehe 24. Je ni tarehe gani ambayo nitaweza kupata mtoto?
Ndugu wana jf nina tatizo la visigino, nikisimama kwa mda mrefu vinaniuma sana. Lakini nikiwa natembea hata km ni safari ndefu haviumi shida ni pale tu ninaposimama mda mrefu. Naombeni ushauri...
Katika pilika za maisha mjini nillikutana na stori ambayo ni mpya masikioni mwangu kutoka kwa watu wazima zaidi yangu na kuniacha na maswali mengi sana. Naomba ufafanuzi wa kitaalamu kutoka kwa...
Laugh is a strong and powerfull forces that has the most positive effect on the body.
1. It improves breathing.
2. Lower blood pressure.
3. Strengtherns the immune system.
4. Relaxes muscles...
Habari ndugu zangu wapendwa katika ukumbi huu. Niliambukizwa ugonjwa unaoitwa gono miezi minne iliyopita. Nikaenda kupata matibabu na kupewa dawa zinazoitwa Cipro pamoja na sindano ambayo...
Jukumu la kwanza kabisa la serikali ni kulinda raia na kuhakikisha maisha ya wake yanakuwa bora kwa case ya Tanzania tazama ibara ya 8(1)(b) ya katiba ya Tanzania.
Nimeuliza swali, usingizi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.