Boniface Meena
WANASAYANSI nchini wako katika hatua za mwisho kukamilisha kinga ya ugonjwa wa malaria baada ya utafiti kuonyesha kuwa chanjo mpya iitwayo RTS,S ambayo inaweza kukinga ugonjwa...
Wana JF.
Mimi natatizo la kufa ganzi mguu wa kushoto nikikaa chini muda mrefu..
Kama kuna mtu anajua ni nini kinachosabisha tatizo hilo au tiba yoyote naomba anijuze
binadamu wa kawaida asiyekuwa na tatizo lolote anatakiwa awe na hormons kiasi gani?
nini kinasababisha kupungua au kuongezeka kwa hormons?
Na kwa watu wenye hormons nyingi kupita kiasi cha...
Habari zenu wapendwa.
Nina tatizo la kutokwa na machozi mara tu nikiingia chooni, iwe naenda kwa ajili ya haja ndogo au kubwa na hata kama haja kubwa ni ya kawaida tu,ni mwaka wa 22 sasa naona...
MFUMO WA USAGAJI CHAKULA (DIGESTIVE SYSTEM)
Tunakula aina mbali mbali za vyakula ambavyo ndani yake vina kabohaiedreti (wanga), protini, mafuta (fats). Chakula tunachokula huvunjwa vunjwa na kuwa...
Wakuu wana JF,
Naomba kufahamishwa kwa yeyote yule anayefahamu au kushare uzoefu alio-nao:
1. Mama mja mzito wa miezi saba anaweza kuendelea kula mua/ kudinywa au hairuhusiwi?
2. kuna swala la...
mimi ni kijana nileyeoa mwaka mmoja uliopita mkewangu sasa anaujauzito wa miezi7 tofauti na zamani sikuizi kila nikimuomba unyumba anadai nyonga zinauma hivi wanawake wajawazito huwa wanakuwa...
Busha Lenye Kilo 45 Lamtesa.. Aomba Msaada
Wesley Warren Jr
Wednesday, October 19, 2011 4:22 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Marekani ana busha lenye uzito wa kilo 45, busha hilo linamtesa sana...
jamani mi nikiwa nafanya mapenzi huwa sifiki kilele haraka naweza nikafanya hata kwa saa ZIMA bila kufika kileleni lakini uume wangu una kuwa stil sijui tatizo ni nini pleas naombeni msaada
Wana JF nawaombeni msaada wenu, kuna rafiki yangu kaja kuomba ushauri kwangu, kiasi sijampa ushauri unaotakiwa mana nimechanganyikiwa na mimi pia. Huyu jamaa yangu anadai kuwa anapotaka kufanya...
Jamani nisaidieni hili, kuna dada mmoja mrembo sana naye alikua hayuko tayari kuupoteza urembo wake pamoja na afya baada ya kusikia maji ni dawa ya mambo mengi, kama kutengeneza ngozi iwe nyororo...
Poleni na majukumu ya kila siku wadau.
Naomba mnisaide wadau.Mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja na nusu.Lakini tatizo kubwa ni kwamba anaumwa sana kiuno na tumbo na damu kidogo kidogo hutoka.Hali...
MIONGONI mwa miti yenye faida kubwa kiuchumi na kimazingira, ni mti wa mlonge.
Mti wa mlonge, umekuwepo nchini miaka mingi ya nyuma na kutokana na maajabu yake katika kuhifadhi, kutunza...
Wakuu jicho langu la kushoto nashindwa kulielewa kama tujuavyo machoni particle nyingi kama wadudu na vumbi/mchanga huingia acidentally na kutolewa ila jicho langu la kushoto kuna kipindi...
nINGEPENDA MFAHAMU YAKUA binadamu anabakreria wengi sana mdomoni kwake kulikoni hata idadi yote ya watu wa Marekani na Kanmada.Ongezeko la bakteria hawa ni kubwa sana kwa wale wanaopendelea...
Binaadam ameumbwa akiwa mwenye uwezo wa kumudu kufanya mambo mbali mbali kwa kutumia mwili wake. Mwili wa binaadam umegawika katika viungo tofauti: Kuna viungo vya kutoa sauti (Vocal), kuna viungo...
hivi bunduki(pen...c) inatakiwa iwe na urefu na upana wa nchi au cm ngapi ili kmrizisha mwanamke? na zinapimwaje?...na nikweli kunauwezekano wa kutoweza kumpa mimba binti kutokana na udogo wa...
Jamani wakuu,ni muda mrefu nimeumizwa na jambo hili,leo naomba mnipe ushauri..nilipokuwa kidato cha tatu nilijiunga na CHAPUKA(Chama cha wafanya masturbation"puli" Kibaha)..kiasi kwamba matamanio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.