Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na upele mwilini.Je dawa ni ipi?Upele wenyewe una hali ya ukavu ukavu na kuwasha kwa mbali.Umetapakaa sehemu kubwa ya mwili wangu kasoro usoni.Naoga kwa siku...
wanandugu, nimefurahi sana na JF doctor forum jinsi watu wanavyotoa maelezo mbalimbali ya afya.
ninaomba mwenye maelezo yakinifu kama ya MziziMkavukuhusu kuzuia ugonjwa wa kansa ya kibofu cha...
Hello wanajamvi.
Salamu za upendo kwenu...
Ningependa kufahamu madhara yatokanayo na matumizi ya "Magic Powder"
kwa wale wasiofahamu jina hlo!
Namaanisha ule unga unaotumika kunyolea hasa...
Kwa ujumla wake, karoti ni mboga yenye kiasi kingi cha Vitamini A. Mbali ya vitamini hiyo, karoti ina virutubisho vingine muhimu vyenye uwezo wa kuzuia magonjwa hatari, kama vile saratani, moyo na...
nianze na salam kwenu wana jf ! Jamani hivi kunakuaga na uhusiano gani pale m2 anapovuta sigara at the same time anakuwa anahisi kupata choo na anapokwenda toilet inakuwa nothng chochote ! Je hii...
Habari wana jamii...jamani natumaini kila mtu ana professional yake, kwetu sisi swali kama hili ilibidi nijing'ateng'ate saaaana kumsaidia huyu dada. In short kuna dada ofisini kwetu ana ujauzito...
-Serikali inaomba kuajiri jumla ya wataalamu/wahudumu wa afya 9,391. Kati ya hao wote madaktari, bingwa na wale wa kawaida wanaohitajika ni kama 300 (3.2%) tu.
-Wilaya na manispaa nyingi...
Source: MNH
Interview to Dr. Devi Shetty, Narayana Hrudayalaya (Heart Specialist) Bangalore
A chat with Dr.Devi Shetty, Narayana Hrudayalaya (Heart Specialist) Bangalore was arranged by WIPRO for...
Nimeweka kwa ajili ya kuelimishana na sio kwa matumizi ya mambo mengine
Embarrassing Bodies | Health Guides | Videos | STI Checker | Channel4.com/bodies
How Drinking, Smoking, And Eating Junk Food Can Affect Your Appearance.
A before-and-after image of 42-year-old writer Anna Magee: now (left), and what she is projected to look like after...
Nimekuwa nikisikia habari kuwa mti (wengine wanauita mlonga)huu umekuwa ukitumika kama zindiko katika mahospitali na umekuwa ukipandwa ktk entrance za hospitali. Kwa anaejua zaidi kuhusu habari ya...
Mimi ni bint wa miaka 28 nina shahada ya kwanza, huwa siwez kabisa kuconcentrate mtu anapoongea na kumwelewa kwa haraka, akiwa katikati mie nimeshahamia kwingine kabisa
Mfano kwenye Mikutano eg...
mdogo wangu wakike anatatizo kabla hajafika kwenye cku zake huwa anaona bleed kidogo inakatika kwa muda wa kama siku 4 hivi inakua inatoka kitone inakatika baada ya hapo eti anakua mkavu kama...
Habari wandugu,
hivi hang-over/mning'inio una dawa? maana hapa nina hang over ya hatari baada ya jana kunywa sana pombe. jamani mwenye kujua dawa naomba anijulishe ili nijitibu.
natanguliza shukrani
Huyu mzee bado yupo. Dentists wanamwita Father of Dentistry. At times nahisi ni vema wataalamu kama hawa wakafuatwa na media na kupata kufahamu experience zao na maoni katika nyanja mbalimbali za...
Kuweni na tabia ya kujikagua matiti kuepukana na matatizo ya advanced breast cancer. Pia toeni elimu kwa mwanamke yeyote unayefahamiana naye kwa wale wanaojua. Coz u may find a breast lump when...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.