jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!
Nahisi nahitaji counseling kutoka kwa professional psychologist. Nahisi nina mapungufu fulani katika ukuaji wangu. Nimelelewa na my grand parents who are both dead lakini walinipa mapenzi ya kama...
Ninatatizo la maumivu kwenye loin yaani chin zinamoishia mbavu na maumivu yanaradiate kwenda kiunoni na sometimes kiuno kinauma sana kiasi kwamba siwezi kukaa normally afu pia napata burning...
Ni matumaini yangu kuwa mu buheri wa afya.
Nitazungumzia kuhusu sumu inayopatikana ndani ya vyakula au kwa kimombo food poisoning, Karibuni.
**********************
Neno food poisoning ni...
Jamani nahitaji msaada wa matibabu ya kifafa haraka. Kuna watu wananiambia kuwa tiba sahihi ya kifafa ni kwa kutumia mitishamba na si kutumia dawa za hospitalini. Sasa nimeshindwa kufanya maamuzi...
wakuu heshima yenu!! nilishawahi kupost thread kama hii kipindi cha nyuma kidogo,nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya korodani baada ya kudo kwa mda mrefu sasa,nilifuata ushauri wote wa member...
Many people in our community do not like talking about it. Whether you talk about or not it is there and is a problem within our community. We will start bringing some awareness information about...
Mboo (pia: Uume) ni kiungo cha uzazi cha kiume ambacho hupitisha shahawa yenye mbegu kutoka mapumbu kupitia kifuko cha akiba kwa kuingizwa katika Utupu wa mwanamke
Mboo pia hutumika kupitisha...
Source: From Yahoo friends
WASH YOUR GARMENTS BEFORE WEARING, IT IS IMPORTANT.
Please share with as many women and men that you know.
Please make it a habit to wash your just purchased...
Watanzania wote na nchi zote nawasalimia naomba mnishauri / mnipatie dawamimi nina umri wa miaka 40 sieleweki na tatizo langu lina kama mwaka sasa nilikuwa natumia dawa za uzazi wa mpango toka...
Nataka kujua sababu inayonifanya nisinzie bila mpango.kitugani kina sababisha,na tiba ni nini.tatizo hili lilianza wakati nilipokuwa darasa la tatu,nikaanza kujikuta nasinzia wakati mwalimu...
Habari members,
Nina kijana wangu mdogo wa miezi 10, hivi karibuni nimegundua ni mashoto, hasa ninapojaribu kumpa kitu huwa anatanguliza mkono wake wa kushoto, nimemchunguza zaidi nimegundua hata...
Kolesteroli na namna iwezavyo kudhibitiwa bila dawa
MAJI HUKINGA NA KUPONYA KOLESTEROLI:
Kwa kusikia tu sentensi Una kolesteroli iliyozidi toka kwa daktari kunaweza kumfanya mtu...
Ngoja nianze na swali."Kwa nini wasichana wengi wa nchi zinazoendelea wanapoteza 'shape' zao na hata zile za maziwa(breasts) kulala au kuwa makubwa na hata kushindwa kurudia shape yake ya awali...
wana JF naomba msaada wakuelimishwa kama nipo sahihi,mimini mtumiaji mkubwa wa computer-laptop katika masaa 24 naweza kutumia masaa 14 na laptop, sasa nahisi macho yanaweza kupata madhara hivyo...
Hayo ni maon yangu tu lakini natumaini nitaungwa mkono huyu jamaa anajitahidi sana kutusaidia hapa jamvini kila la kheri na mungu azidi kumtia nguvu nakuombea mema Dr. Riwa nimekuwa nisomasana...
Dawa ya Ugonjwa wa Uchovu wa mwili hii hapa Tumia kijiko kimoja cha mafuta ya habba sauda pamoja na glasi moja ya maji ya machungwa changanya pamoja kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku kumi...
Wandugu natumai mu wazima wa afya.
Nahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu hizi tezi za pua.
Nina mtoto wa miaka miwili amekuwa akisumbuliwa na mafua kwa muda mrefu tangu akiwa na wiki mbili, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.