he nisaidieni, hii hamu ya kumumunya udongo inanizidi. sio mjamzito!!!!! maana mwaezasema ni mjamzito. Inatokea tu ninakua na hamu ya kula udongo.
Nifanyeje niiache?
Wadau,
Wikiend iliyoisha nlikua Zanzibar kibiashara, na nlifanikiwa kufika salama tu.
Bahati mbaya nilikosa ndege wakati wa kurudi hivyo nikalazimika kuchukua boat.
Kwakua si mzoefu wa kusafiri...
DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.
Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi...
Wakuu heshima mbele. Mzazi wangu ana umri wa miaka 70, hivi karibuni kafanyiwa uchunguzi wa afya yake kwa kupigwa x-ray na kukutwa na tatizo kwenye moyo na mapafu baada ya kutumia dawa kwa muda wa...
This MIRACLE DRINK has been circulating for a long time. It is worth your while to take note. There is a celebrity Mr. Seto who swears by it. He wants to make it public to draw the attention of...
Hbr zenu wana jf, jamani nisaidieni hapa wataalam, nina jamaa yangu sana anavuta sana bhang sasa kapata kazi na anatakiwa kupimwa mkojoe afanye ki2 gani cku hiyo ili aepukane na suala la kukutwa...
Kwa wale wenye Ugonjwa Figo na vijiwe ndani ya figo Tiba Mbadala hii naitoa Chukua kitunguu bila kukichambua, tia mbegu ya tende baada ya kuichoma kama vile buni na kuisaga; halafu kila siku kula...
Nilimepata msichana wa kazi kama wiki mbili zilizoisha, nikawa namuomba mawasiliano ya kwao ili niwajue ndugu zake hata kama litatokea tatizo lolote tufahamishane.
Binti akawa ananichengachenga...
Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao. T ujifunze mengi kuhusu kuzuia, kutibu au kukabiliana na aina tofauti za...
Faida ya kujitibu kutokana na kitunguumaji
tiba inayopatikana katika Kitunguumaji
Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi. Ni mboga yenye harufu kali inayochangamsha. Anaeikitumia kitunguu...
Nitatoa makatazo kidogo juu ya uchanganyishaji wa vyakula tofauti kwa wakati mmoja, kwani kuna baadhi ya vyakula ukichanganya (kula) kwa wakati mmoja huleta maradhi makubwa. Inshallah Mola...
Kila maradhi yana pozo.. na dawa ziko za aina tofauti tu kuna dawa za miti shamba kuna dawa za chemical yaani tunazopatiwa hospitali na kuna dawa zinatokana na matunda alitojaaliwa Allah S.W. Mimi...
Pancreas Cancer: Warning Signs
Pancreatic cancer is one of the leading causes of cancer deaths worldwide. It is due to the fact that symptoms of pancreatic cancer are vague and are often...
Wana Jf, habari.
Mzazi wangu amevunjika mguu mfupa uitwao femur.
Mfupa huu umevunija kabisa ila haujatokeza nje wala haujaleta kidonda, anatakiwa kufanyiwa upasuaji.
Tatizo ana tatizo la sukari...
LEPROSY is a bacterial disease that destroys the peripheral and motor nerves. If left untreated, it can lead to a painful inflammation of the kidneys, the anaesthetising of extremities, deformity...
Huwa najiuliza maswali mawili yafuatayo sipati jibu au kwa vile Biology niliyoisoma O-level hainitoshi.
1.KWA NINI MKONO WA KUSHOTO(hasa kwa watu wengi) UNA UFANISI PUNGUFU UKILINGANISHA NA MKONO...
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.