Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa , nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi na...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Mkono haujateguka wala haujavunjika, ila ukiunyanyua kuna kama nyama zinachanika, na mara moja moja huwa unafyatuka kabisa. maumivu ni makali sana. msaada jameni!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kinga ya mwili ndiyo kila kitu katika afya ya binadamu. Kinga ya mwili ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali. Ukiwa na kinga imara ya mwili, huwezi...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mouth and throat cancer, called oropharynx cancer, used to be a disease seen most commonly in elderly persons. Tobacco smoking and alcohol use were known to be the leading causes of oropharyngeal...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nna dem wangu yapata mwaka sasa. Bt nimeshangaa tangu juzi nikisex nae baada ya bao la kwanza nguvu zinaisha kabisaa wkt ye anakuwa bado anaitaji. Analalamika eti either na mtu mwingine wkt sina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni muda kidogo nimepata kuombwa msaada wa dada anayehisi wmili wake kuwasha kwa ndani na anahisi ni katika mfumo wa damu hususani mikononi na mgongoni. Kwli nilishindwa kumsaidia walau hadi nipate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf, hbr ya asbh. Aisee mchumba wangu kuna kipindi anaumwa chuchu zake, na hii imeanza tangu mwaka jana. Naomba msaada wenu ili nijue nn kisababishi na kama inaweza kutibika.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
The most popular contraceptive for women in eastern and southern Africa, a hormone shot given every three months, appears to double the risk the women will become infected with H.I.V., according...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa kadri ya reporter wangu, kadai hizi pamba za masikio sio nzuri, kwa kadri unavyozidi kutumia, unaousukumiza kiasi flani cha uchafu katika interior part of the ear. Sasa huu uchafu ukigusa part...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari wanaJF?,nitangulize shukran zangu kwa wanajamvi wote kwa michango yenu yenye kuelimisha sana. Kwangu mimi JF ni zaidi ya darasa tena la bure kbs... Ok mi naomba kusaidia kujua...
0 Reactions
112 Replies
32K Views
Ndugu wana JF. Nimebahatika kuongea na wafugaji watatu wa kuku wa nyama wa kisasa (broilers) hivi karibuni. Nimegundua kuwa siku hizi kuku wa nyama wanakuzwa kwa wiki tatu (3) hadi (4) tu. Madai...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
unafanyajae kuhakikisha wazazi wanazaa mtoto wa jinsia wanayotaka,badala ya kuachia nature?mwenye uelewa anielimishe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali nisaidienimwenzenu boyfriend wangu ambaye ndiye mchumba ameniacha bila sababu za msingi, nilimpenda sana na kibaya zaidi nimepata ajali ndo akaanza visa mpaka kuniacha. siwezi hata kula...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani msaidiz wetu wa kazi kameza vidonge 14 vile vya uzazi wa mpango.je kuna madhara?mpaka sasa namuona ana nguvu kama kawaida.kuna madhara kiafya.anadai hajaöa siku zake.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jf doctor, naomba msaada wako kuhusu matumizi sahihi ya mu aloe vera, mana kuna sites fulani nimezisoma, baadhi zinadai kuwa ni vyema kuitumia aloe vera kwa matumizi ya nje (external use) kwa...
0 Reactions
6 Replies
18K Views
Nahitaji kupata viagra. Nitaipata wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ni siku za 4 mama watoto hajaona siku zake.Leo kachoma sindano ya kuzuia mimba.hawez kuiharibu mimc?NATAKA NIMPIGE TARAKA .HAKUNISHIRIKISHA.
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Sina lengo la kuwatisha wanywa bia, lakini naamini inabidi tuwe makini. Bia hutengenezwa kwa nafaka ambazo 'kwa kawaida' hushambuliwa sana na fungus na kupelekea kuwa na fungal toxins...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Namba msaada wa mawazo,nasumbuliwa na tatizo la kuwashwa masikio kwa muda mrefu{miaka 5} hospitali nilipewa vidonge na eardrops havikusaidia,yanawasha kavukavu hayatoi maji. naomba mawazo yenu.
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wadau naomba kujua ni ipi njia itayosaidia kwa mtu ambaye ukinywa maji ya kutosha kama inavyoshauliwa haipiti muda mrefu unaanza safari za kwenda kukojoa mara kwa mara?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom