Najitahidi kula na ninashiba but baada ya mda mchache kama lisaa tu njaa inaniuma vibaya nimeenda hospitali nikapewa dawa za minyoo na nikashauriwa niwe natumia kila baada ya miezi miwili but...
Nina binti mwenye miaka 18 mwezi huu kapata tatizo la kuingia kwenye siku zake mara 3 ndani ya mwezi mmoja je tatizo hili laweza kutokana na nini? haijawahi kumtokea hapo kabla
Ni tiba gani inaweza kutumika kwa jipu lililochimbika kutokana na maumivu makali halikuweza kukamuliwa likaisha, kuna tiba yoyote ya kukausha bila kukamua?
Ndugu JF doctors hebu msaada wenu hapa njia panda....
Watu wengi husema ukinywa kahawa hupati usingizi na ukitaka kupata usingizi unywe sijui ndio piriton au valium...
Sasa mimi niko kinyume...
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya)...
Two brothers, both alike in heritage, but as different as black and white. Ebony and ivory. Night and day. You get it. If one thing's clear about 18-year-old British twins James and Daniel Kelly...
Katika hali ya Kushangaza Hospitali inayotajwa kuwa ni ya Wilaya ya Chato ( kwa Magufuli) kuna utata mkubwa kuhusu wahudumu walioko Hospitali hapo kuwapatia huduma wagonjwa. Wagonjwa wengi...
Jamani nina hamu sana ya kupata watoto mapacha, ni jinsi gani na wakati gani "nikifanya" naweza kupata watoto mapacha? Naomba sana wadau/wataalamu mtujuze juu ya hili.
Nina tatizo kubwa sana la meno toka nikiwa mdogo nimekuwa nasumbuliwa nayo. Almost yote yameoza ila nimekuwa nikiyaziba sina raha nimeshauriwa kuwa kuna teknolojia mpya imekuja tz ukiacha ile ya...
Asalaaam aleykum wana Jf wa jukwaa hili lenye msaada mkubwa kwa jamii! Kwa mnaofaham naombeni mnisaidie katika jambo hili... Ki ukweli sijaoa na naamini hakuna madhara zaidi ya yale yakisaikolojia...
Nnarafiki yangu amekua na tatizo lakusahau kupita maelezo yaani muda mwingine mmeongea hapo haichukui hata muda hakumbuki anasoma sana na vitu anaelewa lkn anasahau kuna watu walimwambia chanzo ni...
Gene explains why treatments fail some with asthma.Poor response to inhaled steroids likely inherited* Understanding could lead to personalized asthma drugs.Genetic differences could explain why...
I GOT THIS MAIL AND THOUGHT OF SHARING IT WITH YOU.
What is the correct way of eating fruits?
We all think eating fruits means just buying fruits, cutting it and just popping it into our...
Ndugu zangu mama yangu anaumwa sana,tatizo lake anasumbuliwa na hedhi,kwani tangu mwezi wa saba alikuwa hajaona siku zake za hedhi,kwa sasa tatizo imeanza kama wiki mbili zilizopita anatokwa na...
Wakuu salaam!
Kuna uncle wangu anateseka sana kwa ugonjwa ambao kimsingi haujafahamika kwa familia. Hata hivyo, baada ya mimi mwenyewe kufuatilia kwa karibu nikagundua kuna ugonjwa unaoitwa...
Arjen M. Dondorp, M.D., Ph.D., Rick M. Fairhurst, M.D., Ph.D., Laurence Slutsker, M.D., John R. MacArthur, M.D., Joel G. Breman M.D., Philippe J. Guerin, M.D., Ph.D., Thomas E. Wellems, M.D...
Uric acid is a chemical created when the body breaks down substances called purines. Purines are found in some foods and drinks, such as liver, anchovies, mackerel, dried beans and peas, beer, and...
HILI TATIZO NI LANGU MIMI MWENYEWE.
Yapata mwezi mmoja hivi nimekuwa nikiexperience kitu cha ajabu sana mwilini mwangu nacho ni uwezo mdogo wa kufanya ngono.
Lakini cha kushangaza, hili halitokei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.