Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Juzi nilienda hospitali kupima mbegu za kiume na uwezo wako cha ajabu ni kuwa nilikutwa na mbegu 18milion pia doctar akanimbia kuwa pia ni tatizo inabidi nipewe dawa kusudi niwe na uwezo wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naomben michango yenu juu hilo.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Dada yangu anasumbuliwa na kifua na tatizo la kupumua. Kifua kikimbana anapumua kwa shida, na anakuwa anatupatupa mikono kama vile anakata roho. Mwanzo tulidhani ni PUMU lakini hospitalini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, mabibi na mabwana Nina mdogo wangu wa kike ambaye sasa ana umri wa miaka 21 na ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu. Cha kushangaza mpaka kufikia hapo alipo ana matiti maduchu...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
DAWA BANDIA aina tano zilizoingizwa nchini kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa Malaria zimekamatwa Dawa hizo zimekamatwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) kwa kugundulika kuwa ni dawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wanaJF, kuna rafiki yangu mmoja jana usiku kanieleza jambo nikaona niwaletee humu tujaribu kumsaidia. Huyu bwana ameniambia kuwa amejishangaa jana amekuta katika chupi yake kuna damu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wanaJF, kuna rafiki yangu mmoja jana usiku kanieleza jambo nikaona niwaletee humu tujaribu kumsaidia. Huyu bwana ameniambia kuwa amejishangaa jana amekuta katika chupi yake kuna damu na...
0 Reactions
12 Replies
14K Views
After the World War II, the Russians also experimented with microwave ovens. From 1957 up to recently, their research has been carried out mainly at the Institute of Radio Technology at Klinsk...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kuna kipindi fulani nyuma nilipatwa na kidonda sehemu ya mbele ya umme wangu,japo maumivu yalikuwa kidogo sana,baada ya mda nilikwenda Hosp.Doctor aliniambia ni magojwa ya ngono ,lakini mie...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF, Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu kuwa jana nilifanya utafiti mdogo wa hali ya upatikanaji wa dawa katika hospitali zetu za umma. Hospitali za serikali Kyela, Rungwe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello, nina tatizo la kukauka lips mara kwa mara naomba ushauri. ila nimeanza matumizi ya lipstic tangu nina umri wa miaka 18 na sasa nina miaka 35. tatizo hili linanikera sana kwani nisipopakaa...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Je mtoto mchanga kujisaidia haja ya kijani ni ugonjwa au nini?Kama ni ugonjwa unasababishwa na nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mke wng tangu ajifungue sasa ana miezi 3 hajapata hedhi na nimefanya nae UPT jibu ni negative.Je hili ni tatizo gan?Naomba msaada wa kidaktari plz.Naogopa kuduplicate watoto.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mchanga umeingia jichoni siku 2 zilizopita haujatoka hadi sasa na silali wala kuona kwa raha,jicho linauma na kutoa chozi.nikifumba jicho naskia hiyo chembe ya mchanga inazunguka it‘s...
0 Reactions
16 Replies
16K Views
Hallow wana JF hivi kuna ukweil kwamba mafuta ya Taa ni dawa ya mhemko kwa wanafunzi maana shule anayosomea binti yangu ni ya boarding na ni wasichana tu .Shule hiyo wanatabia ya kuwawekea mafuta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina binamu yangu msichana anasumbuliwa na tatizo la kupasuka ulimi,tangu limeanza mpaka sasa ni miaka mitatu,tatizo lilianza baada ya kutumia vidonge vya maleria vya SP wakati ule vinatumika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi! Nina rafiki yangu mmoja amenishirikisha jambo so anahitaji ushauri, mimi sio Dr so sijui chochote, Issue iko hivi yeye miezi michache ijayo atafunga ndoa, lkn kabla ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam wana JF. Recently nimekuwa nikitamani sana kula udongo.Since I am not pregnant, I was wondering if it's something that I should be concerned about and/or need to seek medical advise for...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Mimi nina swali naomba kuuliza jamani ndugu zangu, hivi hili tatizo la NGUVU ZA KIUME ni deal sana hapa Tanzania? Maana kila tangazo la WAGANGA huwezi kukosa neno "TUNATIBU NGUVU ZA KIUME"...
0 Reactions
85 Replies
19K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 27,nimeoa na nina mtoto mmoja. Nimekuwa nikiumwa sana na uume iwapo sipo karibu na mke wangu,hasa ninaposafiri. Nilienda kupima kila kitu,magonjwa ya zinaa na hata...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom