Aloo wakubwa Matumaini yangu mko vizuri na ambao Afya zao haziko sawa Basi na Mwenyezimungu awasaidie wakae vizuri,
Leo nataka tushee kitu kuhusiana na Afya ya macho. Wengi wamekuwa wakisumbuliwa...
KUNYONYA SEHEMU NYETI ZA MWANAMKE KUNA MADHARA MAKUBWA KIAFYA.
Wanaume wengi wana maswali mengi sana hapa, kunyonya au kulambalamba sehemu za siri za mwanamke ni njia mojawapo ya kumuamushia...
Habarini wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ni tatizo ambalo linanikuta Mara kwa Mara kabla sijaenda nakuwa na hu lakn nikifika tu basi hamu yote inaisha na maumbile husimama kwa...
Habari wakuu poleni na majukumu,naomba niende kwenye maada moja kwa moja.
Kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na mwili kuchomachoma hasa kuanzia kwenye ngozi ya kichwa mpaka kifuani na...
Habari zenu wanajamii,
Nakumbuka miaka ya nyumanyuma nkiwa mdogo nimewahi kutolewa funza mara kadhaa miguuni na nikawa nikigombeshwa sana kuhusu kuchezea mavumbi, mazingira machafu na...
Machungwa yamejaa vitamini na madini, lakini je, yanaweza kuzuia homa? Tunaangazia kwa undani jinsi matunda haya yanaweza kuchangia ustawi wa afya yako.
Machungwa ni nini?
Chungwa ni tunda la...
Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.
Kinacho...
Waswahili husema, nyumba ni choo, wakiwa na maana kuwa nyumba haiwezi kuwa kamili bila kuwa na huduma hiyo ya choo.
Hata hivyo, pamoja na umuhimu wa choo, lakini si kila nyumba iliyo na choo...
Habar wakuu baba yangu anataka kwenda kufanyiwa operation ya kuzibua mishipa ya moyo JKCI..vip wakuu kwa uzoefu wenu kwa yoyote amabae amefanyiwa hii operation
Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora.
Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia...
Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinjwaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake.
Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika...
Baadhi ya watu wengi, wanapotayarisha matunda na mboga mboga wana mazoea ya huzimenya. Hata hivyo, mara nyingi sio lazima. Kuna virutubisho muhimu kwenye maganda. Kando na hilo, maganda ya matunda...
Maelezo ya picha,
Mwanamke akila burger na vibanzi
Mwanamke ambaye ana mazoea ya kula vyakula vyenye mafuta mengi na sukari bila ya kutumia matunda kwa wingi, yumo kwenye hatari ya kutopata uja...
Kamasi ni sababu ya magonjwa yote. RIP DR.SEBI
Hili ndilo swali nililoulizwa mahakamani, kwamba kwa nini tunatoa madai haya na kwa nini tulifanikiwa sana na kinachoendelea ni kwamba ugonjwa huo...
Jibu la haraka ni mtu yoyote. Tiba ya chiropractic inasimama zaidi kwenye kinga kuliko tiba, unapata kinga kwaajili ya kuzuia magonjwa ya uti wa mgongo na magonjwa mengi ambatanishi. Ijapokua tiba...
Wakuu kwema.? Hope mko salama.
Leo nimetimiza mwaka tangu nimeoa, Mungu ametubariki mtoto mmoja na anaendelea vizuri
Nikiwa mwanaJF nimekutana na nyuzi nyingi zikiongelea suala la kuzama...
Wadau nawaombeni msaada, kisigino changu cha mguu wa kushoto kinaniuma sana utafikiri labda kuna msumari umeingia, nimewaona wataalamu wengine wakasema huenda ni uzito nipunguze uzito.
Nimefanya...
Siku hizi mwili wangu umekuwa dhofrihali! Siko active kama nilivyokuwa kipindi cha nyuma. Nimejawa na uzembe sio uzembe, mchoko sio mchoko, yaani nipo nipo tu. Nikijiegesha tu, hata dakika haiishi...
Wakuu,
Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? kama ni ugonjwa kuna dawa?
Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je...