Great Thinkers, nimekuwa ni mpenzi (addicted?)i sana wa kutafuna chewing gum (bazoka) aina mbali mbali, mfano Big G, Bubblish, Batook, Special mint na kadhalika. Swali langu leo, je kuna madhara...
Ni mwaka mzima sasa naumwa mguu, unavimba hasa nikikaa muda mrefu kama ofisini hivi,nikilala unakuwa kawaida.Madaktari wanasema damu inaganda kwenye mishipa natakiwa kutumia anticoagulants maisha...
Wana JF hivi inawezekana kweli kuwa mtoto hapumui akiwa tumboni na mama yuko normal tu, au sometime manesi wanakuwa wamechoka kupima tu,
Hii inakuwaje embu nipeni mawazo yenu.
natafuta tiba mbadala au dawa asilia iliyotafitiwa ya BHP kwa mtu yuko kijijini. Kwa sasa hivi anatumia urimax lakini zinakuwa nzito kwake. Nimeona ndugu moja akielezea dawa fulani katika kipindi...
hey wanajamii nilikuwa na tatizo la anal fisure ambalo chanzo ni siku moja ambayo nilipata choo kigumu sana hali iliyo nisababishia maumivu sana wakati najisaidia toka hapo ndipo tatizo lilipo...
Nimekuwa nikiumwa na kichwa sana.nilipima na kukutwa na malaria nikatumia metachelphin alafu nikachoma sindano aina ya antmethor.lakin hakija tulia nikaenda kupima typhoid nikakutwa nayo nikaamua...
Nina sister wangu yeye ni mjamzito, uja uzito wake una tkribani miezi kama sita hivi.<br />
<br />
katika kipindi hiki alichokuwanacho, kuna baadhi ya matatizo huwa yanamtokea kama vile kufa...
Kuna hili jambo niliambiwa kitambo, ila leo naomba tulijadili. Natanguliza maombi yangu ya msamaha kwa nitakao wakwaza. Jambo lenyewe ni kwamba, jamaa liidai kwamba pindi mimba inapotunga ndani ya...
ninamwenzangu ambaye yeye hayupo jf na ameniomba niliwasilishe hili kama anaweza kupata ushauri.Anaomba kujua jinsi atakavyoweza kuacha kufanya punyeto anatamani kuwacha lakini bado inakuwa...
Wataaalam nina mtoto mdogo wa mwaka mmoja na nusu anajoto kali sna yani ukimshika hivi mpaka anaunguza.nimempeleka hospitali wamemcheki hana maleria wala mkojo wake hana shida sasa anakunywa...
Wana JF,
Hivi ni kweli uvutaji sigara na unywaji pombe ni kweli zinapunguza nguvu za kiume! Kama kuna uhusiano wowote wa hivi vitu mwenye taaluma naomba anijuze na kwa faida ya wengine.
Nadhani...
Naomba mnisaide kitu kimoja kwa sasa ni shida ya mifupa ya miguu kuisha nguvu na kuchoka hata kutembea kidogo na hata nikijaribu kuiminya miguu inauma sasa toka kwenye magoti kwenda chini...
Habari zenu GreatThinkers. Bila shaka hapa siwezi toka patupu katika kulifahamu hili suala kiundani:Ni hivi,mwanamke ambaye ana mtoto chini ya mwaka mmoja anayemnyonyesha akibeba mimba na wakati...
Jamani eeh,naombeni ufafanuzi katika hili. Hivi kama mi nakuwa mwezini(hedhi) kila tarehe 5 ya mwezi, nikifanya tarehe 14 nitakuwa hatarini?........Nimeuliza hivyo kwasababu nilifanya tarehe...
Hi All,
I am sure that you have heard about what happened in Guinea last night. Well for the moment, all is calm. We hope it continues to stay calm.
Just thought i'd share this with you...